leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 4,093
- 20,222
Naomba wafanye hivyo wayaangazie maisha yangu.Mdau umetisha, wakupe hata wa buku5, we mwaminifu utawalipa tu.
Naomba wafanye hivyo wayaangazie maisha yangu.Mdau umetisha, wakupe hata wa buku5, we mwaminifu utawalipa tu.
Namsubiri,, afanye haraka napikia jiko janja na nina nataka uhakika wa kula mapema.Una shida harafu una haraka, vuta subra mheshimiwa MTANESCO achakate ombi lako.
😃😃😃😃Naomba wafanye hivyo wayaangazie maisha yangu.
Si huongei vizuri na sisiMbaya zaidi mpaka sasa eti TANESCO hajaona comment yangu
Jamani!!!! yamekuwa hayo??? mi nina kauli nzuri mbona!!!! nifanyie mpango basi.Si huongei vizuri na sisi
Umeeleweka vyema hapo mlimaniJamani!!!! yamekuwa hayo??? mi nina kauli nzuri mbona!!!! nifanyie mpango basi.
Tanesco wakisha yaangaza maisha yangu wewe nipandishe mlima kilimanjaro nikachukue kili lager.
Fanya jambo basi mtoto halali na hela.Umeeleweka vyema hapo mlimani
Aisee..hii nchi tunaibiwa sana. Yaani unit moja tsh 357.14 wakati kumbe nchi nyingine kama Ethiopia ni Tsh 16? Kumbe sisi tunaishi jehanamu. Tunaibiwa sanaSuala sio umeme kutumika kwa wingi, suala ni gharama za umeme kuwa juu...
Ethiopia Unit moja ni Tshs 16 ya Tanzania...
Hivi unafikiri umeme Tanzania ukifika siku unit moja ikawa hata Tshs 100, kuna mtu atalalama?
Siku mkizalisha umeme wa kutosha, hakutakuwa na haya malalamiko, hivyo shida ipo kwenu...
Eti gharama ni kwa mujibuwa EWURA...hao ewura ndio wanaoiendesha tanesco au nyie ndio mnawapelekea mapendekezo halafu wao wanayabariki tu? mnataka kutuona watz ni mazuzu eti mnajificha kwenye kichaka cha ewuraHabari ndugu mteja,
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja, zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme
•Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
•Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
•Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
•Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
•Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
•Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/=
Gharama hizi ni kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) 18%
Zingatia gharama halisi utazipata baada ya wataalamu wetu wa vipimo kufika kwenye eneo lako na kufanya tathmini.^NI
Nilitegemea yatatolewa maelezo ya kiufundi yanayodhihirisha kwamba ukipita muda mrefu bila ukaguzi, umeme hutumika kwa kasi kwa sababu fulaniMfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
Hata wao ingekuwa tatizo mita inakula sana wasingeomba vitu vyote hivyoThubutu, hawezi fanya hivyo
Habari Ndugu mteja.Naomba kuwauliza hivi majiko ya umeme kwenye ofisi zenu pale Mwanza, yanapatikana na kama yanapatikana yanauzwa bei gani
Habari ndugu mteja.Nilitegemea yatatolewa maelezo ya kiufundi yanayodhihirisha kwamba ukipita muda mrefu bila ukaguzi, umeme hutumika kwa kasi kwa sababu fulani
Ndugu mteja.Eti gharama ni kwa mujibuwa EWURA...hao ewura ndio wanaoiendesha tanesco au nyie ndio mnawapelekea mapendekezo halafu wao wanayabariki tu? mnataka kutuona watz ni mazuzu eti mnajificha kwenye kichaka cha ewura
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.Gharama ya umeme ipo juu Tanesco mna mpango gani kupunguza gharama zenu kwa unit moja ili Watanzania wengi waweze kumudu kutumia jiko la umeme pamoja na Giza la kupasha maji moto maji baridi waachane na matumizi ya kuchaji simu, Tv,pasi na Fridge pekee..
Nilipiga namba 180 kutoa taarifa ya changamoto ya umeme!Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976