Suala sio umeme kutumika kwa wingi, suala ni gharama za umeme kuwa juu...Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
hili swali TANESCO Walitujibu wakasema"EWURA ndo wanapanga bei ya umeme". Hivo kuna haja ya kuwauliza EWURA, halafu, watujibu kistarabu kama TANESCO.Suala sio umeme kutumika kwa wingi, suala ni gharama za umeme kuwa juu...
Ethiopia Unit moja ni Tshs 16 ya Tanzania...
Hivi unafikiri umeme Tanzania ukifika siku unit moja ikawa hata Tshs 100, kuna mtu atalalama?
Siku mkizalisha umeme wa kutosha, hakutakuwa na haya malalamiko, hivyo shida ipo kwenu...
Mkuu hizi taasisi na mashirika ya kiserikali wanafahamika kwa kutupiana mpira, ukienda kwa EWURA wataku forward sehemu nyingine, utazungushwa hadi utafika sehemu utaambiwa hilo ni suala la Tanesco, utarudi Tanesco na mzunguko unaanza upya...hili swali TANESCO Walitujibu wakasema"EWURA ndo wanapanga bei ya umeme". Hivo kuna haja ya kuwauliza EWURA, halafu, watujibu kistarabu kama TANESCO.
Binafsi nilitamani nipate majibu ya EWURA. Kama wapo humu watujibu.Mkuu hizi taasisi na mashirika ya kiserikali wanafahamika kwa kutupiana mpira, ukienda kwa EWURA wataku forward sehemu nyingine, utazungushwa hadi utafika sehemu utaambiwa hilo ni suala la Tanesco, utarudi Tanesco na mzunguko unaanza upya...
Usisikilize hizo ngonjera..
Nguzo moja pamoja na kuwekewa umeme Kwa vijijini ni shilingi ngapi?Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
Habari ndugu mteja,Nguzo moja pamoja na kuwekewa umeme Kwa vijijini ni shilingi ngapi?
Ndugu mteja,Tanesco, hivi kama umeme hauishi yaani hata Unit hazipungui tangu zinunuliwe shida inaweza kuwa nini?
Habari ndugu mteja,Sub-meter zirekebishwe,
zisitegeme meter kuu:
Ikiwa umbali wa Mita 60 inakuwajeHabari ndugu mteja,
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja, zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme
•Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
•Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
•Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
•Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
•Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
•Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/=
Gharama hizi ni kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) 18%
Zingatia gharama halisi utazipata baada ya wataalamu wetu wa vipimo kufika kwenye eneo lako na kufanya tathmini.^NI
Habari ndugu mteja,Ikiwa umbali wa Mita 60 inakuwaje