kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,989
- 4,874
Ngoja nifanye hilo jambo nione kama kutakua na mabadiliko maana hii mita inakula umeme sio yaani umeme wa 30000 ndio umalize mwezi kwa shida tena Kwa matumizi ya frij na taa za usiku tu asubuhi zinazimwaMfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976