Utakuwa umewekewa mita ya EthiopiaTanesco, hivi kama umeme hauishi yaani hata Unit hazipungui tangu zinunuliwe shida inaweza kuwa nini?
Admin hajaniokotesha mpaka sasa. yeye anibebe tu nikapumzike kwenye uhakika wa mwanga.Habari ndugu mteja.
Subiri Admin akiokotesha hatokuacha.^RS
Ndugu tanesco tusaidie picha tuweze kuchagua.Habari Ndugu mteja.
Asante kwa kuwasiliana nasi, majiko ya umeme yanapatikana kupitia wasambazaji katika maeneo mbalimbali nchini. 🇹🇿
💰 Bei: Kuanzia TSh 100,000 na kuendelea, kulingana na aina na uwezo wa jiko.
🚚 Huduma ya delivery inapatikana kulingana na makubaliano na wakala.
📞 Wasiliana na wakala aliye karibu nawe:
Dar es Salaam: Mbezi Beach – 0767528833 | Mbezi Juu/Goba – 0738201498 | Makumbusho – 0679222923 | Biafra – 0775122229 | Tabata – 0758198223 | Mikocheni – 075235458 | Tegeta – 0735003003 / 0699913100
Dodoma: Medeli – 0736700771 | Dodoma – 0673222923 | Maili Mbili – 0745235458
Arusha: 0745122229
Mwanza: 0746222923
Mbeya: 0659122229
Moshi: Mtaa wa Rengua, Old Moshi – 0738395165
⚡ Chagua jiko linalokufaa kulingana na mahitaji na bajeti yako!
❤️ TANESCO — Nishati kwa maendeleo ya Taifa. Asante.^RS
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.Admin tusaidie kupeleleka malakamiko kuhusu gharama za umeme, kwani ewura ndoo wanatuuzia umeme? Yaani mwenye duka hajui bei za bidhaa zake mpaka apangiwe na jirani 😄 🤣 😂 😆 tz bhnaa mpaka
Wewe admin chukulia mfano una duka lako vizuri na bidhaa umenunua wewe na unataka kuuza bei hutoi Wewe mpaka aje Jirani yako na wengine wakupangie bei inaingia akilini hiyo?Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.
Suala la bei za umeme linasimamiwa na EWURA kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Mchakato huo ni endelevu, na umma utajulishwa kuhusu mabadiliko yoyote pindi utakapofika wakati muafaka.
Asante. ^FL
Mwambie admn aache roho mbaya sisi wote watanzania!!!!!!Admin atakuona siku nyingine usikonde 😂. ^FL
Ndugu mteja,Ndugu tanesco tusaidie picha tuweze kuchagua.
Ndugu mteja, Naomba tukupe ufafanuzi wa ziada.Wewe admin chukulia mfano una duka lako vizuri na bidhaa umenunua wewe na unataka kuuza bei hutoi Wewe mpaka aje Jirani yako na wengine wakupangie bei inaingia akilini hiyo?
Habari RESILIENT KATO,Nilipiga namba 180 kutoa taarifa ya changamoto ya umeme!
Yaani unakata unarudi unakata unarudi hata Jana kwenye game ya Arsenal!!
Wakati naongea na mtoa huduma !namsikia mwingine mmama pembeni anasema "Hii ndio Tanzania baba"
Nikamwambia "kama ni Tanzania,tunataka Tanzania mpya ya umeme usiokatika katika ovyo"
Nyie TANESCO hamna Nia ya dhati ya kutatua tatizo la umeme!nyie wenyewe ni wafaidika wa umeme kukatika katika!
Inakuaje mtoa huduma pembeni analopoka eti "hii ndio Tanzania"!!?kwamba Kuna figisu za umeme zinafanyika maksudi!!?
Nimeamua sitokaa nipige simu huduma kwa wateja tena coz nyie wenyewe ni wafaidika wa tatizo la umeme!!
Shame on you TANESCO!!
Makadirio yenu tu yanaacha familia 5 bila umeme.Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
Haya mambo ya kuweka pending vitu vilivyo ndani ya uwezo, ni ajabu kabisa. Yaani badala ya kusema tutayafanyia kazi, kuna ugumu gani kuchukua maelezo kwa mtaalamu wa domestic installation na kuyaweka hapa? Kwa nini msichukue tu maelezo yake kama ukaguzi ukichukua muda mrefu unaathiri mfano loop impedence, inayoathiri X, inayoathiri Y, inayoathiri kasi ya matumizi ya umeme? Mtayafanyia kazi which? where, what?Habari ndugu mteja.
Asante kwa maoni yako. Tumeyapokea na tutayazingatia kwa ajili ya kuboresha matangazo yetu yajayo.
Hata hivyo, tunapenda kusisitiza kuwa taarifa tuliyoitoa ni muhimu kwa usalama wa miundombinu ya umeme. Ikiwa miundombinu ya umeme katika eneo lako imefikia muda tuliouainisha, tunakushauri kumwita mtaalamu mwenye sifa stahiki ili kufanya ukaguzi.
Asante.^RS
Habari, ndugu mteja.Haya mambo ya kuweka pending vitu vilivyo ndani ya uwezo, ni ajabu kabisa. Yaani badala ya kusema tutayafanyia kazi, kuna ugumu gani kuchukua maelezo kwa mtaalamu wa domestic installation na kuyaweka hapa? Kwa nini msichukue tu maelezo yake kama ukaguzi ukichukua muda mrefu unaathiri mfano loop impedence, inayoathiri X, inayoathiri Y, inayoathiri kasi ya matumizi ya umeme? Mtayafanyia kazi which? where, what?
Habari ndugu mteja,Makadirio yenu tu yanaacha familia 5 bila umeme.
Nguzo 3 gharama M2.4 kweli? Wakati nguzo 2 laki 696.. wakati huo huo kuna mtu kapelekewa nguzo kumi kwa gharama ya nguzo 1.. mna double standard sana na watumishi wenu wanapenda sana rushwa na majibu ya hao wa ofisini ni mabaya mno.
Kama kungekuwa na mtoa huduma mwingine nadhani hata gharama za umeme zingekuwa chini.
Umeme sio anasa, umeme ni hitaji la muhimu katika maisha ya kila siku.
Kwanini eneo linalohitaji nguzo 3 serikali isiweke ruzuku?Habari ndugu mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu.
Pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kukufahamisha gharama za umeme zinazingatia umbali.
Hata hivyo serikali iliweka ruzuku kwenye gharama za umeme ndiyo maana sehemu ya umbali wa nguzo mbili utaona gharama ni nafuu ukilinganisha na umbali unaohitaji zaidi ya nguzo mbili
Kwa hoja ya rushwa Kama yupo aliyekuomba rushwa tupatie ushirikiano wako uli kupambana na vitendo hivyo Kwani vinakiuka misingi ya utumishi wa umma
Hata hivyo kama taasisi tumejipanga kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma kwa wakati ingawa hata gharama za kulipia kuunganisha umeme zilizopo sio gharama halisi kwakua bei hizo kwanza niza zamani sana lakini pia zililenga watu walio na kipato kidogo hivyo serikali kutambua hilo ikaona iweke bei ambayo mwananchi atachangia tu na wala sio bei halisi .
Mfano gharama ya kuunganisha umeme umbali wa meter 70 ambayo ni nguzo moja ni 516,000 wakati bei halisi ni 1,500,000.
Bei ya kuunganisha umeme umbali meter 30 ni Tzs 320,960 bei halidi ni Tzs 546,765
Asante.^DK
Sasa mkuu TANESCOHabari ndugu mteja,

Ngoja nifanye hilo jambo halafu nione kama kutakua na mabadiliko maana hapaMfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976
Kwa hiyo unataka kutuaminisha ukikagua tu umeme hauishi haraka mwana limbumbu kabisaMfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
View attachment 3705975View attachment 3705976