Umemdondokea nani humu chumbani

Ntuzu my husband umepita kipande hii??? I luv u...only u. Achana na hayo maandishi ya jitu lililohack account yangu. I luv u mume wangu

Ili jitu ni nani loh Ntuzu mchepuko nipo hapa ile hela nataka
 
Last edited by a moderator:
Venue na mda tafadhali, ladies first...!
Lakini hiyo venue iwe na sehemu ya kupumzika coz after work ntakuwa nimechoka sana..lol

Bagamoyo....si utapenda kupumzika hadi jumapili?
 
Ohoooo, mshenga tena! Mweh kweli hizi siku za mwisho!! Jamani jamani patachimbika humu! Wewe Eli79 si ulikua unamwonaga benda18 kila siku humu kabla mimi kuanzaga, kumbe ulikua unashangilia wakati unayako pembeni. Mimi nina wasiwasi na Mapi tu hapa. Sijui how in deep kaingia. Lakini sio tatizo we ngoja nimtoe binti kwa date moja tu ndio huyo mapi atakua X na kuwekewa V badala ya P!!

YOU HEEAARRRDD!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa nimepoa bestito
 

How can I know my favourite colour is tarquoise if I don't have choices of other colour...I can only make choices when I have varieties
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…