"Mtawajua kwa makovu yao"Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
upepo umempepelushaKama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
soon utasikia karudi kundiniSisi tunamtaka Lissu hata asituunge mkono hiyo maembe sisi tunaenda na Lissu mwaka huu ni yeye jmn
yeye atacheza na NECHiyo dakika ya 89 atafunga hilo goli kwa wachezaji gani alionao? hayo mazoezi ya hiyo mechi aliyafanyia wapi? au atamnunua refa?
Nimegundua kwenye maswali ya muhimu aliyokua anaulizwa anatumia ubabe sana kuyajibu kwa kua yemlenga katikati ya mstari wa ikweta. Chakubanga style.Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Dilly dallying tacts kumchanganya aduiKama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Amini usiamini:Nimemuelewa Membe vizuri sana
Unaijua v80 wewe....sisi tunatembelea magari hayo Hadi katibu wa ccm wa wilaya...Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
Lissu yupo na Ponda na Maalim Seif we upo na Kipoozeo… inabidi ujitafakari sana my friend…Unaijua v80 wewe....sisi tunatembelea magari hayo Hadi katibu wa ccm wa wilaya...
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hawa
Sijamwelewa anasema wametangaza kumuunga mkono Lisu kama individuals co chama?huyu hajatumwa kweli huyu
Ikitokea TL akashinda na kukawa hakuna namna basi njia pekee ni kutafuta mgombea mwenye msimamo wa wastani ili akabidhiwe kijiti - rejea uchaguzi wa DRC Tschisekedi hakuwa chaguoHiyo dakika ya 89 atafunga hilo goli kwa wachezaji gani alionao? hayo mazoezi ya hiyo mechi aliyafanyia wapi? au atamnunua refa?
Hujui kitu membe anamuunga mkono LissuKama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Na ndio maana alienda ACT chama ambacho Lissu alishasema kuwa si chama cha upinzani na hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akamtaja hadi Zitto kabwe kuwa si mpinzani.