Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,041
- 103,472
Membe yupo sahihi. Amefikiria hatima ya wagombea ubunge na udiwani kupitia act wazalendo.
Ni ngumu kuamini kuwa Membe anaweza kuisaidia ACT kupata wabunge na udiwani. Hana mvuto wowote wa kisiasa. Ikumbukwe hata alipokuwa ccm alikuwa anashinda ubunge kwa mbeleko ya dola/ccm. Mimi naamini ni pandikizi la ccm, ambalo waliopiga mahesabu wakitegemea cdm wangeingia mkenge kama wa Lowassa.