Uchaguzi 2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Hana madhara huyo,if anything atapunguza kura za Magufuli
 
Tambua kuwa Lissu ni kibaraka wa wazungu na viongozi wengi wanalijua hilo, pengine utashangaa kwanini Zitto na Maalim Seif wanataka kumuunga mkono Lissu, wao pia ni vibaraka na hawana jipya. Kumuunga mkono Lissu ni sawa na kuisaliti nchi yako, nani anataka kuuza nchi yake kwa wazungu tuwe tunatumiwa kama Kongo (DRC)? Lissu ni shetani na anacheza na watanzania wasiojitambua akili.
 
Hizi propaganda zingine bhana kwa hio unafurahia kuona watu wakiuawa watu wakibambikwa kesi na ajira zikiwa adimu unafurahi sana

Vipi kwa makato yabodi kwa wanufaika vipi kuhusu pensheni na vipi fao la kujitoa haya yote huoni??

Uhuru wa vyombo vya habari n.k

Yote hayo huoni?
 
Nimejifunza amekuwa na nguvu Baada ya kulipa pesa ya ACT wazalendo walikubaliana, Ndiyo imempanda kiburi Cha kuita media.

Pili ni kuwa anatekeleza ushushu wake kumfukuza Kuna danganya Toto. Unless hicho kiburi kakitoa wapi!!?
 
Hizi propaganda zingine bhana kwa hio unafurahia kuona watu wakiuawa watu wakibambikwa kesi na ajira zikiwa adimu unafurahi sana

Vipi kwa makato yabodi kwa wanufaika vipi kuhusu pensheni na vipi fao la kujitoa haya yote huoni??

Uhuru wa vyombo vya habari n.k

Yote hayo huoni?
Kwa akili yako unafikiri Lissu atakusaidia nini, yule si mwanasiasa na wala hana akili ya kuongoza nchi.
 
Membe hafanyi kampeni na ndoto za urais zilishayeyuka. Asingeweza kujitoa leo na ana uhakika hatoweza kugawa kura to that extent maana hana kura za maana

Dakika ya 89 (tarehe 27 Oct) anaweza kuwaambia wote wenye mapenzi mema na ACT wawachague wabunge wao na kwa Urais waangalie tu Mpinzani yupi ana nguvu then wamchague huyo
2E358E86-2F4C-4540-90B7-00556C584F00.jpeg
 
Km nilivosema tangu awali huyu bado ameshikilia kua mamluki wa ccm anajifanya anawaponda lkn bado angependa kugawa kura za urais. Act mpinzani ni mmoja tu Maalim Seif.

Bado Tundu Lissu atapata kura za kimbunga
 
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!

Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Tambua kuwa Lissu ni kibaraka wa wazungu na viongozi wengi wanalijua hilo, pengine utashangaa kwanini Zitto na Maalim Seif wanataka kumuunga mkono Lissu, wao pia ni vibaraka na hawana jipya. Kumuunga mkono Lissu ni sawa na kuisaliti nchi yako, nani anataka kuuza nchi yake kwa wazungu tuwe tunatumiwa kama Kongo (DRC)? Lissu ni shetani na anacheza na watanzania wasiojitambua akili.

Wewe Una level gani ya elimu. Mimi ni CCM ki community kabisa , lakini wewe umeongea Utumbo.

1. Nchi bila Upinzani haiendi, ikiwa kila mpinzani utamuita Kibaraka basi wewe elimu haijakusaidia. Lissu ni Mpinzani na anafanya vyema hana ukibaraka wowote ni upumbavu wa wako katika kufikiri.
-
Leo hii ukimuuliza MTZ anaesema Upinzani ni kibaraka hatoweza kutoa majibu sahihi zaidi ya hearsay.

2. Mzee hujaenda Shule kuwa Lofa, use your mind please . Mashekhe wa Uhamsho wanafirwa huko gerezani na wengine kufia kabisa huko na kuozea huko kwa mwaka wa 6 and no one dares to say anything kwa kuogopa. Lissu anabainisha dhulma hii na haki itendeke kwa hawa watu maana Ishu zao zipo pending kwa sana.

3. Sasa mtu kama huyu bado unamuita kibaraka? Are you mad ? Angekuwa baba yako anaingililiwa kinyume huko gerezani , how would you feel ? Ushwahi kusikia hata mtu wa Bakwata akisema lolote , stupid as stupid does! PUMBAVU!
 
Zito na Maalim Seif walifikiria Membe ataachia mihela kama alivyofanya lowasa walipoona kavu wakamtosa sasa wanavizia fedha za mashoga sijui Amsterdam ameshaachia!!!
 
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.

Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu

Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.

Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Nilivyomwelewa mimi, hasa alipoanza kwa kusema, ili chama dola kishindwe lazima kuwepo mpasuko ndani ya chama chenyewe, mpasuko utakaogawa kura za Chama dola. Sasa kwa akili za watu wanaofikiri sana, utaweza kuona, hakuna popote aliposema "Watanzania nipeni kura zote za ndiyo". Hapa maana yake ni kwamba, anaacha kura za Wapinzani (kura za Lissu) zibakie vile vile "Y" lakini kule CCM, wale wa kundi lake (ambao walikuwa ni kura za CCM) wampigie yeye hivyo kuifanya CDM kumshinda CCM.

Kimahesabu ni hivi:

CDM = 40 ✓
CCM MEMBE = 30
CCM JPJM = 30

Hii hesabu ikichezwa hivi (ingawa amechemsha) basi ni kweli angewasaidia Upinzani kwa Mara ya kwanza Katika historia ya nchi yetu kushika madaraka ya kuongoza nchi.

Kwa kuwa ameshachemsha na kukurupuka dk za majeruhi, ni vigumu sana kufanikisha hili!
 
Back
Top Bottom