babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,112
- 16,020
si utani yaani hawa wako hoi kwa usingizi
naona ni kijana tu huko nyuma na mzee tingatinga (mtani wangu) hawajalala. Wengine wote wamejichokea zao mbaya. Ila njaa inabidi tu uendelee maana madaraka matamu ati.
amani tanzania bomu saa ngapi,ndio maana viongozi wanalala tuhapo sasa likilipuka bomu kila adithi itasemwa
hii kali maana jamaa wanalijenga taifa inavyotakiwa
loh,ndo manaake kama ulikuwepo vile,wanazuga kama ingawa wamelala wanasikia hotuba vilevile.alafu makofi yakipigwa,na wao wanastuka wanapiga makofi alafu wanalala tena,hii ndo bongoooooo staa sechi
ni kweli mkuu,na sijui wataamshwa lini hawa.wakuu,
hivi walivyolala, ndo exactly walivolewa na kulalia madaraka.
alafu makofi yakipigwa,na wao wanastuka wanapiga makofi alafu wanalala tena,hii ndo bongoooooo staa sechi
shughuli za chama mzee.hi yo hotuba ilikuwa too boring nini?
Can you tell us ilikuwa ni tukio gani hilo?
Acheni hizooo,,,walikuwa wanasali...eboo!