Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

"According to Zuma, all men need do if they go around fathering children with many women is accept paternity, pay damages, invoke children's rights, blame the media and claim their right to privacy. If that does not work, you can also say ‘sorry’ before rushing off to deliver the State of the Nation address."

- Colleen Lowe Morna, Executive Director, Gender Links.
 
attachment.php


Naona ni kijana tu huko nyuma na Mzee Tingatinga (mtani wangu) hawajalala. Wengine wote wamejichokea zao mbaya. Ila njaa inabidi tu uendelee maana madaraka matamu ati.

Hawa Wanatafakari kwa makini sera ya kilimo kwanza pamoja na ulinzi shirikishi.
 
jamani panapokuwa shwari kula tano ruksa ili mradi mtu hakoromi.

haujui kuwa kabla ya hiyo siku wamekesha hawa. ohoo!
 
Loh! aibu kiasi gani askari tena myenye manyota yaliyosheni kuuchapa usingingizi mpaka mdomo kubaki wazi!
Inaonyesha dhahiri jinsi nchi yetu ilivyo na viongozi wa hovyo hovyo!
Inshallah iko siku tutawaamsha na sio mbali sana!
 
Back
Top Bottom