Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

Key point wameogopa macho ya lisu bungeni ni ngumu mliyemtendea uovu ili afe kukaa nae meza moja nafsi zitawasuta.Hivo wameona wamuondoe kukwepa aibu.
 
Tuliwahi mwambia Lissu mdomo wake iko siku utaponza kichwa chake, yametimia
Yametimia kwa kuvuliwa ubunge?..umechanganyikiwa kweli..WALIMSHINDWA KWA RISASI hawatamuweza kwa huo upuuzi wa huyo jamaa asiye na vidole vya mguuni.
 
Kwa taarifa yako anajuwa sheria kuliko ata unavyofikilia ww
Mh Mkono hajaza hio fomu mbona yeye hajavuliwa ubunge? Kwanza si jukumu LA Spika kujua nani amejaza na nani hajajaza. Hill ni jukumu la Tume ya Maadili. Ñdugai anajiandikia historia mbaya ili kumfurahisha jiwe.
 
Ndugu zangu,

Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.

Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.

Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.

Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.

Nawasilisha
Kuna hoja zingine za kipumbavu sana
 
Hivi tundu Lissu akikosa ubunge wewe MATAGA unafaidika na nini? Unataka Kuniambia Mshahara aliokuwa analipwa lissu utapewa wewe mtumie na ukoo wenu au unaenda kujenga "ESIJIARA" aka TRENI YA UMEME?
 
Madam minister..
Japo nakuunga mkono kwenye chama na serkalii..hili la mh lissu sioni mantiki kwa mawazo yangu..

Ubunge uliobakia ni mwaka 1 tuu tungelipotezea tuu..haya ya sheria ya viongozi na maadili ni move/sababu za kishamba.
Kumbe huyo ndio kaandika?
 
Hoja kwa hoja kamanda,nini kimemzuia kujaza fomu ya tamko la mali kwa mujibu wa sheria?
Simply....yuko nje ya nchi for almost two yrs
Physically hajui mali zipi zimeengezeka au zimepungua
Pia kutokukutana na mhasibu wake ili kutengeneza mahesabu .
 
Tuliwahi mwambia Lissu mdomo wake iko siku utaponza kichwa chake, yametimia
Mwambie mleta mada kuwa hiyo sababu aloyotaja sio tatizo,bali tatizo ni Lissu kuisema vibaya serikali ya Magufuli!!!!
 
Kamanda dada sheria haina muda mdogo wala mkubwa
Kwanini mahakama ilipuuza ombi la serikali kumfutia dhamana Lissu ili akamatwe popote alipo na kuswekwa rumande akiendelea na kesi????Kama mahakama ingetambua kuwa Lissu ni mtoro basi imgekubaliana na hoja za serikali!!!!

Kwanini umekwepa kutaja sababu ya kwanza maana zimetajwa mbili!!!!Naona wewe pia hujaridhika na sababu hiyo hivyo umekomaa na hii moja kuonesha uhalali wa maamuzi ya spika!
 
(Kwa ishara, ya msalaba tuokoe)×2

1. Mbona mataifa Ee Bwana, wanafanya ghasia Mungu wetu.

2. Pia makabila Ee Bwana, nao wanatafakari ubatiri.

3. Wafalme nao wa dunia, wanajipangapanga Mungu wetu.

4. Yeye aketiye mbinguni, anacheka na kuwadhihaki wote.

5. Na adui zetu Ee Bwana, tuokoe sisi Bwana Mungu wetu.

6. Tuvipasue vifungo vyao, tuzitupe mbali nasi kamba zao.
Amina.
 
Unajua wewe ni mbulula kabisa. Mgonjwa mtumishi kitu gani kinafanya asiende kazini na mwajiri atambue kuwa ni mgonjwa?
Daktari anatoa kitu kina itwa ED.
ED ni nini? ED ni Exempt from Duty, ndiyo aliyopewa na madaktari ambayo Bunge linaitambua na ndio maana liliendelea kumlipa mishahara na stahiki nyingine kama mbunge.
Kwa nini hakujaza hizo form? Hakujaza document hiyo kwa vile ni tamko la kisheria na sehemu ya kazi na ugonjwa wake waweza kuifanya doc hiyo kukosa sifa kwani yuko kwenye ED.
Ukiwa katika ED Kuna baadhi ya mambo lazima ufanye mbona mshahara anachukia na yko na ED kwa maana s hafanyi kaz?

Tatizo lisu kashindwa kula na kipofu kabisa.yeye hajui kama anatafutwa katika target? Ana jua Hilo vizur alicho kifanya Ni kusubiri huruma za watanzania kuongea mitandaoni na hilo ndio limemponza mana halikosa kiki kwa muda sasa katengeneza tatizo altatue yeye
 
Hivi unajua kitendo cha kumfukuza ubunge Lissu kina athari kubwa kwa serikali kuliko kwa Lissu? Picha chafu ya Taifa ndani na nje unajua kuwa imesambaa?
Lissu atakacho Fanya ni kuiacha kesi ingurume mahakamani yeye akitaka kuzungumza na Taifa anawaita waandishi wa habari wa ndani na nje pale Ufipa mambo hewani.
 
Nakuuliza wewe usiye mbumbumbu was sheria, hivi, kuto kujaza fomu ya maadili ni ground ya kuwa fired out? Je kuto kutoa taaarifa ya ugonjwa ni sababu ya kuondolewa without heard?
 
Ndugu zangu,

Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.

Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.

Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.

Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.

Nawasilisha
Lisu na mama ako nani mbumbumbu?
 
Back
Top Bottom