Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

(Kwa ishara, ya msalaba tuokoe)×2

1. Mbona mataifa Ee Bwana, wanafanya ghasia Mungu wetu.

2. Pia makabila Ee Bwana, nao wanatafakari ubatiri.

3. Wafalme nao wa dunia, wanajipangapanga Mungu wetu.

4. Yeye aketiye mbinguni, anacheka na kuwadhihaki wote.

5. Na adui zetu Ee Bwana, tuokoe sisi Bwana Mungu wetu.

6. Tuvipasue vifungo vyao, tuzitupe mbali nasi kamba zao.
 
Kamanda ukiugua miezi sita mfululizo kisheria unaachishwa kazi kwa sababu za ugonjwa.Usiwe mbumbumbu wa sheria.Kipindi cha majadiliano ya katiba mpya Tundu alikuwa anaponda sana wabunge wagonjwa hadi JK akamshangaa.Japo sheria hii haipo kwa wabunge.

Pili,mbona unakwepa swala la fomu ya tamko la mali?nini kimemzuia kujaza kwa mujibu wa sheria wakati mabalozi wanajaza?
Siku za nyuma nilikuwa namuona Waitara kuwa ndiye NW mzigo, kumbe kuna zaidi yake!
 
Hoja kwa hoja kamanda,nini kimemzuia kujaza fomu ya tamko la mali kwa mujibu wa sheria?

Kwa hiyo kwa akili yako hizo fomu wanaojaza hizo ndio huwa mali zao kweli? Acha wazungu waendelee kutuita manyani.
 
Vigezo na mashart kuzngatiwa kama hizo fomu zinzpatikana online alishindwaje kujaza sasa,mbona kwenda safari za mbali anaweza kwenda
kama mnaona anaonewa basi haina haja ya kuwa na sheria,kwani zinawekwa ili nani afuate?

Ingekuwa sheria zinafuatwa Magufuli asingepokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi.
 
Vigezo na mashart kuzngatiwa kama hizo fomu zinzpatikana online alishindwaje kujaza sasa,mbona kwenda safari za mbali anaweza kwenda
kama mnaona anaonewa basi haina haja ya kuwa na sheria,kwani zinawekwa ili nani afuate?
Hawa mambulula a.k.a nyumbu akili zao sijui huwa wanazisahau wapi? Eti wangemuonea huruma, hivi sheria na huruma ni wap na wap? Waende magereza mtu yupo mahututi na pingu mkononi😬😬
Alafu walivyo manyumbu ikifuatwa sheria wanalalama, isipofuatwa wanalalama😲😲
 
Kamanda ukiugua miezi sita mfululizo kisheria unaachishwa kazi kwa sababu za ugonjwa.Usiwe mbumbumbu wa sheria.Kipindi cha majadiliano ya katiba mpya Tundu alikuwa anaponda sana wabunge wagonjwa hadi JK akamshangaa.Japo sheria hii haipo kwa wabunge.

Pili,mbona unakwepa swala la fomu ya tamko la mali?nini kimemzuia kujaza kwa mujibu wa sheria wakati mabalozi wanajaza?

Mbona hawajamvua Nimrodi Mkono? Au yeye sio mtoto wa kambo, a.k.a chama cha rais?
 
Hoja kwa hoja kamanda,nini kimemzuia kujaza fomu ya tamko la mali kwa mujibu wa sheria?
Lisu amevuliwa ubunge kama turufu ya aibu ya taifa stars iliyofanyiwa mbwembwe kuambulia patupu bila hata pointi moja. Watawala wameona wamalize hasira yao kwa Lisu huku wakihamisha attention ya watanzania kutoka Misri na kupeleka Singida Mashariki.
All in all aibu ya Misri itabaki palepale hata kama itafunikwa funikwa kwa gharama ya maisha ya Lisu.
Cc Salary Slip Erythrocyte Mmawia
 
Wajue tu wanazidi kuharibu na hakuna wanachafanikiwa katika mipango yao hii.
 
Lisu amevuliwa ubunge kama turufu ya aibu ya taifa stars iliyofanyiwa mbwembwe kuambulia patupu bila hata pointi moja. Watawala wameona wamalize hasira yao kwa Lisu huku wakihamisha attention ya watanzania kutoka Misri na kupeleka Singida Mashariki.
All in all aibu ya Misri itabaki palepale hata kama itafunikwa funikwa kwa gharama ya maisha ya Lisu.
Cc Salary Slip Erythrocyte Mmawia
hatari sana !
 
Mbona hawajamvua Nimrodi Mkono? Au yeye sio mtoto wa kambo, a.k.a chama cha rais?
Pamoja na Nimrod kutohudhuria bungeni kwa muda mrefu, taarifa zake na mawasiliano yake na bunge ni updated, kwanini afukuzwe?
 
Kwani naye alishambuliwa kwa risasi? Ni mwanachama gani wa ccm anayekutana na hizo dhuluma za wazi? Hizo taarifa zake wala sio anapeleka, bali huwa anaulizwa maana yeye yuko kwenye chama cha rais.
 
Back
Top Bottom