Na kwa sasa hivi hana kinga hata wahuni wakitaka "KUMBADUA" poa tu!Tundu Lissu ni mganga njaa
If you do not know where you are going any road will take you there ''hayo matusi yazamani yahaniumizi kichwa''Wewe ni makende
Acha nilielie na mrembo huyu wa kuchonga!Kamanda jenga hoja acha kulialia
Umeokotwa jalala ipi?Ni kwa sababu mnahamishwa kama nyumbu, na hata hili la Lisu kitakuja kitu kingine alafu mnahamishwa kama Mizigo
Tunaolipa kodi ndo uona uchungu wa kodi yetu sie anaetumia kodi ye zipo tuMe nadhani ni bora wasimlipe mishahara na nini ila ubunge wake ubakie dormant hadi uchaguzi mpya tena
Kwani mzee wa goli la mkono na shemeji take Februari mtaalamu wa computer si yanawakuta? Na yeye muda wake utafika atakuja hapa na ID nyingineYatakukuta na wewe, hata kama,ni PRAISE TEAM! Sheria zipo na utu upo! Ndiyo maana kipindi kile hakim alikataa Tundu Lissu kukamatwa akiwa hospitalini
Thibitisha au mnataka hurumaHivi kweli umeshindwa kuona njama zoooote dhidi ya Lissu? Badala yake unakuja na uzi huu wa kijinga
Huyo ni mama yako au wewe?Acha nilielie na mrembo huyu wa kuchonga!View attachment 1142033
PovuTena walichelewa kumvua ubunge.. ilitakiwa afe kabisa.
Mungu sio msukuma TL anapumua.. uhai ni zaidi ya cheo
TL relax bro
Umenena Vyema! Sheria Ipo Na Utu Upo ... Kupigwa Risasi Zote Hizo, Kama Kutaka Kuja Mnyama Pori Hatari, Kama Simba, Asilete Madhara, Halafu Mnyama Pori Mwenyewe APONE! ALLAH WAAKBAR! ALLAH WAAKBAR!Yatakukuta na wewe, hata kama,ni PRAISE TEAM! Sheria zipo na utu upo! Ndiyo maana kipindi kile hakim alikataa Tundu Lissu kukamatwa akiwa hospitalini
Povu na kamasi nimemwagia ma*ma yako.. we unasemaje?Povu
Kwahiyo anaweza kutembea sehemu mbalimbali Ila kujaza fomu hawezi?
Lisu sawa mdomo umemponza na KOROSHO ZILIZOPORWA JE?Tuliwahi mwambia Lissu mdomo wake iko siku utaponza kichwa chake, yametimia
sahihi kabisa mkuuAnajua fika hizo fomu sio jambo serious na ndio maana huwa watu wanajaza mali chache kuliko uhalisia na hakuna hatua zozote zinachukuliwa wakati ukweli unafahamika.