Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
- #41
Kamanda jenga hoja acha kulialiaSiku za nyuma nilikuwa namuona Waitara kuwa ndiye NW mzigo, kumbe kuna zaidi yake!

(Kwa ishara, ya msalaba tuokoe)×2Ndugu zangu,
Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.
Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.
Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.
Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.
Nawasilisha
Ukidanganya na ikabainika unalo,watu wengi huishi bila kuzingatia sheria ila yakiharibika ndio akili inakujaKwa hiyo kwa akili yako hizo fomu wanaojaza hizo ndio huwa mali zao kweli? Acha wazungu waendelee kutuita manyani.
Leta vielelezo kamandaMbona hawajamvua Nimrodi Mkono? Au yeye sio mtoto wa kambo, a.k.a chama cha rais?
Ukidanganya na ikabainika unalo,watu wengi huishi bila kuzingatia sheria ila yakiharibika ndio akili inakuja
Sasa hapo umetumia akili gani? Umewaza kwa kutumia masaburiNdugu zangu,
Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.
Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.
Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.
Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.
Nawasilisha
Amekuwa akirandaranda huku akiropoka ni kweli alishindwa kudownload fomu za kujaza tamko la mali na kuzituma au kumtumia Kaka yake wakili msomi Alute?Pole yako, watu wanadanganya na wanafahamika ila hawafanywi lolote, ili mradi tu uwe ccm. Hiyo tume ipo kula hela za bure, sana sana hutumika kwa ajili ya kufanya hujuma dhidi ya wale wanaohitilifiana na watawala.
Kamanda hajajaza forms za maadili. Mgonjwa gani kila siku anakata mitaa ya Ulaya na kupiga selfies akifyonza mvinyo na kubugia kuku?Pale waliokupigia risasi wanapokuvua ubunge!
Hivi kwa akili yako hiyo tukuiteje ,ile kesi ya meya Boniface Jacob mbona tume ya maadili hawakuifanyia kazi dhidi ya makonda overgownbaboon .Lissu akiwa mbumbumbu wa sheria wafoji vyeti waliojaa ccm watakuwa kina nani ? Demean tabu cha msemakweli juu ya walioghushi vyeti has a mawaziri .Ndugu zangu,
Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.
Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.
Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.
Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.
Nawasilisha
Kamanda kuropoka si kujua sheria mara kadhaa tumemkalisha chini kortini hususani kwenye mambo yasiyo ya kisiasaKati ya ww na TL nani? kakaa darasani na kusomea article
Hii ni kauli ya mjumbe wa shetani kama sio shetani mwenyewe!! Ulitaka aijaze hiyo fomu akiwa ICU eti!! Muwe na huruma basi ya kibinadamu hata kidogo.Ndugu zangu,
Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.
Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.
Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.
Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.
Nawasilisha
Kwa taarifa yako anajuwa sheria kuliko ata unavyofikilia wwKamanda kuropoka si kujua sheria mara kadhaa tumemkalisha chini kortini hususani kwenye mambo yasiyo ya kisiasa
Alafu Kazaa bastard. .baba mtoto hajulikaniYaan kipozeo cha jiwe unamwita Lissu mbumbumbu wa sheria?Ama kweli şhetani amewakamata vilivyo
Kina wengine hawatumikii tumboTuliwahi mwambia Lissu mdomo wake iko siku utaponza kichwa chake, yametimia
Amekuwa akirandaranda huku akiropoka ni kweli alishindwa kudownload fomu za kujaza tamko la mali na kuzituma au kumtumia Kaka yake wakili msomi Alute?