Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

Anajua fika hizo fomu sio jambo serious na ndio maana huwa watu wanajaza mali chache kuliko uhalisia na hakuna hatua zozote zinachukuliwa wakati ukweli unafahamika.
sahihi kabisa mkuu
 
Madam minister..
Japo nakuunga mkono kwenye chama na serkalii..hili la mh lissu sioni mantiki kwa mawazo yangu..

Ubunge uliobakia ni mwaka 1 tuu tungelipotezea tuu..haya ya sheria ya viongozi na maadili ni move/sababu za kishamba.
Well said
 
Tukihoji utajiri wa bashite mnasema wivu umetujaa, sasa hizo fomu za nini? Hata walioanzisha hizo fomu ni wivu tu!
Masika ikiisha tope zikakauka kichwani mwako utajua kama hata hao waliojaza hizo fomu hakuna tija yeyote, hayo hayo ndiyo yenye majumba na mishamba mingi tu haijaorodheshwa.
Hayo haya yaliyojaza fomu ndiyo yenye makampuni yamesajiliwa kwa majina ya bibi, uncle au rafiki zao.!
 
Anajua fika hizo fomu sio jambo serious na ndio maana huwa watu wanajaza mali chache kuliko uhalisia na hakuna hatua zozote zinachukuliwa wakati ukweli unafahamika.
Ingorance of the law is no defence
 
kama unadhani TL mwenyewe anaumia kwa kuvuliwa ubunge pole sana, kama ana njaa angekua alisharudi mapema sana.
 
Kuna sheria ya kuzuia maandamano kwa vyama vya siasa?, kuna sheria inayosema kila mtu afanye siasa kwenye jimbo lake tu?....au ndio Kunya anye kuku....akinya bata ....ameharisha sio?
 
Ndugu zangu,

Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.

Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.

Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.

Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.

Nawasilisha
Hivi WEWE umewahi kuugua? Umewahi kulazwa hospitali? Unakumbukumbu wewe? Kama unakumbukumbu je alipelekwa au alienda mwenyewe Nairobi? WEWE unajiona unaelewa Sheria kuliko Lissu?
 
Kamanda acha kulia lia Jenga hoja
 
Ndugu zangu,

Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.

Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.

Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.

Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.

Nawasilisha
Kwa hiyo wewe naye una utulivu Wa Akili? Hizo akili zako za kuvukia barabara na wewe unajiona una akili. Valisha chupi akili zako
 
Back
Top Bottom