FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,922
- 11,315
mama ako je?Tundu Lissu ni mganga njaa
mama ako je?Tundu Lissu ni mganga njaa
Kamanda Tundu aliondoka hospital siku nyingi sanaNalia nini? Naona ulivyo mjinga unadhani hospitali Ni hotelini. Unadhani Lissu ALIKUWA anaishi jalalani na akaona Ni Bora apange apigwa risasi ili akaishi hospitali kuliko nyumbani kwake?
DahYametimia kwa kuvuliwa ubunge?..umechanganyikiwa kweli..WALIMSHINDWA KWA RISASI hawatamuweza kwa huo upuuzi wa huyo jamaa asiye na vidole vya mguuni.
Ukitaka kuuondoa ujinga usiogope watu wa pembeni watasema nnHivi unajua kitendo cha kumfukuza ubunge Lissu kina athari kubwa kwa serikali kuliko kwa Lissu? Picha chafu ya Taifa ndani na nje unajua kuwa imesambaa?
Lissu atakacho Fanya ni kuiacha kesi ingurume mahakamani yeye akitaka kuzungumza na Taifa anawaita waandishi wa habari wa ndani na nje pale Ufipa mambo hewani.
Tega tako nijengeKamanda dada jenga hoja bila povu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tako lenyewe limeshavurugwa mno na mchumi m'bobezi.Tega tako nijenge
Kwisha habari yako kumbe wewe ni gay?Tega tako nijenge
Kila siku shetani "mtu"huwaza "HIVI ILIKUWAJE HUYU AKASALIMIKA LICHA YA MVUA YA RISASI ILE"Ndugu zangu,
Sheria ya viongozi wa umma inatamka wazi kuwa kila kiongozi wa umma kama ilivyoinishwa katika sheria anapaswa kutoa tamko la mali ndani ya siku 30 baada ya kutumikia nafasi ya uongozi husika na kila mwisho wa mwaka.
Fomu za kujaza tamko la mali na madeni zinapatikana katika tovuti ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.Hivyo basi Tundu hana sababu ya kutojaza fomu hiyo kwani anatakiwa kuingia katika tovuti ya Tume kudownload fomu hivyo na kuijaza na kuituma kwa DHL kwenye ofisi ya Tume ya maadili kwani katika kipindi chote hicho amekuwa akipata mshahara na marupurupu ya ubunge.
Kutokana na ushahidi kuwa Tundu amekuwa akizurura nchi mbalimbali hana sababu ya msingi kushindwa kuijaza fomu hiyo na kuiwasilisha Tume kwa njia yoyote ikiwamo kumtuma mwanasheria wake au nduguye.
Ni mjadala usiohitaji mihemko bali utulivu wa akili.
Nawasilisha
Tutii sheria kamandaKila siku shetani "mtu"huwaza "HIVI ILIKUWAJE HUYU AKASALIMIKA LICHA YA MVUA YA RISASI ILE"
Hivyo,kila lijalo kichwani mwake?mwao hutekelezwa! Hakuna jipya.Kama ni utoro na kutojaza fomu hizo juzi ndiyo wamebaini? Tangu Sept. 7 2017 hadi leo sheria na kanuni walikuwa hawazijui au zimetungwa mpya? Firauni atabakia firauni tu hata akibadili rangi!
Jenga hoja kamandaKila siku shetani "mtu"huwaza "HIVI ILIKUWAJE HUYU AKASALIMIKA LICHA YA MVUA YA RISASI ILE"
Hivyo,kila lijalo kichwani mwake?mwao hutekelezwa! Hakuna jipya.Kama ni utoro na kutojaza fomu hizo juzi ndiyo wamebaini? Tangu Sept. 7 2017 hadi leo sheria na kanuni walikuwa hawazijui au zimetungwa mpya? Firauni atabakia firauni tu hata akibadili rangi!
Acha porojo.. binuka nikunakshKwisha habari yako kumbe wewe ni gay?
Kamanda dada jenga hoja
Hoja ni :Jenga hoja kamanda
Ulitaka waone lini?Hoja ni :
Hizo sheria,kanuni n.a. ukiukwaji wa maadili ndo wanayaona leo baada ya takriban miaka miwili? Iweje sasa na si kabla pindi muda ulipotimia wa kutohudhuria vikao na kuwasilisha tamko la mali na madeni?
No rahisi sana kudanganya asiye tafiti na mvivu wa kufikiri!
Kumbuka hii: Wafukuze bungeni wakija huku tuwashughulikie!
Hoja ya msingi - je, mgonjwa anapokuwa exempted from duties, bado analazimika kufanya baadhi ya majukumu na wajibu wake aliokuwa nao alipokuwa mzima kwa vile tu mgonjwa ameonekana mtaani akitembea?Kamanda ukiugua miezi sita mfululizo kisheria unaachishwa kazi kwa sababu za ugonjwa.Usiwe mbumbumbu wa sheria.Kipindi cha majadiliano ya katiba mpya Tundu alikuwa anaponda sana wabunge wagonjwa hadi JK akamshangaa.Japo sheria hii haipo kwa wabunge.
Pili,mbona unakwepa swala la fomu ya tamko la mali?nini kimemzuia kujaza kwa mujibu wa sheria wakati mabalozi wanajaza?
Hawakasiriki hata waitwe nani. Vinara wawili tumeambiwa ni wapumbavu. Hawa sijui watakuwa ni nani!Mnaacha Kuhangaika na matatizo mengi na ya Kimsingi yanayowakabili Watanzania walio wengi nyie mnahangaika tu na Mtu Mmoja Tundu Lissu halafu mkiitwa Maduduna ( Wapumbavu ) mnakasirika.
Wewe inaonekana huelewi kinachoongelewa. Hoja ya huyo dada ni kuwa ukiugua zaidi ya miezi 6 unafutwa kazi. Swali likaja kwa nini Nimrod hajafutwa? Wewe unakuja na maelezo hata yasiyohusiana na swali lililoulizwa! Ni makusudi au uwezo mdogo wa kuelewa?Pamoja na Nimrod kutohudhuria bungeni kwa muda mrefu, taarifa zake na mawasiliano yake na bunge ni updated, kwanini afukuzwe?
Kielelzo gani unahitaji? Ina maana huna uhakika kuwa Nimrod ameugua zaidi ya miezi 6? Kama unasema mbunge akiugua zaidi ya miezi 6 anastahili kufutwa ubunge, Nimrod kwa nini hajafutwa?Leta vielelezo kamanda
Kwahiyo anaweza kutembea sehemu mbalimbali Ila kujaza fomu hawezi?
unalazimisha utetezi, sasa mgonjwa anafunguaje kesi? kama ni kutumia mawakili kwanini hakuwatumia kumjazia fomu?Jambo la msingi ni kuwa mgonjwa aliyekuwa exempted from office duties anaweza kuchagua mambo ya kiofisi?
Usinene maneno mengi, eleza tu what does it mean to be exemped from duties.