Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.
Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.
Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi hutumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.
Yummy! Hali yako mamsap? Huu hali gani?Yaani nilikua najitahidi kupitia huu uzi kimya kimya lakini uzalendo umenishinda kutokana na hizi post mbili hapa chini looooh...........
Ngumu kumeza aiseee......
Hahaaaaa huu ni ukweli MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na hii ina apply kote kote.....lol
Tena kama ni mume anakupitia kwa ofisi anakukuta umejaa tele unamsubiri akupitie mrejee wote home,asalale walaiiii raha kwelkwel....na wakati huo unakua mwepesiiiiiiiiii kama karatasi. Safi sana kina mama/dada nawapongeza:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2:kazi na dawa:violin: kudadadeki!
Utawajua kwa maneno na vitendo vyao.Yaani nilikua najitahidi kupitia huu uzi kimya kimya lakini uzalendo umenishinda kutokana na hizi post mbili hapa chini looooh...........
Ngumu kumeza aiseee......
Hahaaaaa huu ni ukweli MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na hii ina apply kote kote.....lol
Tena kama ni mume anakupitia kwa ofisi anakukuta umejaa tele unamsubiri akupitie mrejee wote home,asalale walaiiii raha kwelkwel....na wakati huo unakua mwepesiiiiiiiiii kama karatasi. Safi sana kina mama/dada nawapongeza:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2:kazi na dawa:violin: kudadadeki!
bila shaka nizazifikisha hubby, tena 2015 ugombee urais, najiandaa kuwa first lady.....watanikomajeee
Utawajua kwa maneno na vitendo vyao.
Infidelity is Inevitable
miss u guys!Ndo manake.....una jingine?
hubby i have missed u! ndio narydi kutoka kule uliponituma! nimechokaje sasa??Utawajua kwa maneno na vitendo vyao.
Infidelity is Inevitable
Ndo manake.....una jingine?
napita tuu hapa nawaangalia BADILI TABIA na Yummy
leo sijui nina hasira sijui nina furaha gfsonwin hebu angalia upande wangu nyota yangu inasemaje leo AshaDii hebu angalia mood yangu ikoje leo maana sweetlady na Remmy wameniudhi sana na Amyner simuoni wala The secretary wala Catherine
Mhmmmm!!!! Kaaazi kweli kweli...mie napita tu.
Hahahaaaa............unawezaje kuwa na hasira mie nikiwepo honey hebu sogea karibu yangu usuuzike.
Erickb52 hebu kamlipe yule mama muuza pale bar ulikokuwa jana
Young Master hebu rudisha vile viatu vya watu ulichukua pale kwenye mtumba madai yake unaenda kujaribisha halafu ukapotelea pesa hujalipa wala viatu hurudisshi
Shhhhh!!!! taratibu basi...unataka kusema kwa nguvu hadi kila mtu asikie?
napita kukagua kama nyumba zenu mmehesabiwa wote na kama hamkutamani karani wa sensa
Mie bado sijahesabiwa.