Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
38,175
47,248
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
 
"Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.", mwisho wa kunukuu.

Hakuna kuoa kwa hivyo! Hiyo mifano yako uliyotoa hakuna aliyeenda kwa mwanaume chozi likimtoka!
 
Kuna tofauti kubwa pale binti anapoamua kuolewa na tajiri mzee ile apate pesa na pale mtoto mdogo wa kike anapouzwa na wazazi wake ili wao wapate pesa. Acha kujitoa akili.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Naona umeandika utumbo wa hali ya juu Shehe wangu. Umewahi kujitetea kihovyo ukihisi muda si mrefu wadau wakiamka wataleta ushindani wa kidini na kurefer Muddy(57) na bi. Aisha(6) then kuanza kumuingilia akiwa na miaka 9. Subiri, vita vinakuja kwenye huu uzi kuanzia saa 1 asubuhi hii.
 
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
Hii ilianza zamani sana soma Habari ya Aisha ambaye aliuzwa akiwa na miaka 9
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Haya mambo yanasikitisha sana. Kama binti ni walau mkubwa na anakubali mwenyewe kuolewa sawa. Lakini anapouzwa kama bidhaa au kutolewa ili kufidia mkopo aliochukua mzazi na binti mwenyewe ana miaka 6 ni kitu kibaya sana. Hawa watu wanapitia hali ngumu sana.

Hili hapa ni gazeti maarufu la Pakistan wamelezea vizuri hii habari

"Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.", mwisho wa kunukuu.

Hakuna kuoa kwa hivyo! Hiyo mifano yako uliyotoa hakuna aliyeenda kwa mwanaume chozi likimtoka!
Sawa hamna kuoa kwa msingi ipi leta hiyo video kuonyesha hao watoto wadogo wanao nunuliwa, ndoa za utototoni zipo sana hata hapa kwetu watoto umri wa miaka 15 hulazimishwa na wazazi wao kuolewa neenda shinyanga pwani zazibar nk kama utazikuta bora mtoto aolewe mapema kuliko kuchezewa nado lengo lao, acheni black mailing, leta ushahidi kama wanauzwa sio kuolewa
 
Naona umeandika utumbo wa hali ya juu Shehe wangu. Umewahi kujitetea kihovyo ukihisi muda si mrefu wadau wakiamka wataleta ushindani wa kidini na kurefer Muddy(57) na bi. Aisha(6) then kuanza kumuingilia akiwa na miaka 9. Subiri, vita vinakuja kwenye huu uzi kuanzia saa 1 asubuhi hii.
C unaona upumbavu kama hu, wewe unafikiri kila mtu anafuata utamadini wenu wa kimakonde, India mpaka leo huo utamaduni wanao mtoto kutafutiwa mchumba angali mdogo ila mahusiano huja badaye akikua sasa nyie hufikiri kwa mihemuko na chuki zenu.
 
Haya mambo yanasikitisha sana. Kama binti ni walau mkubwa na anakubali mwenyewe kuolewa sawa. Lakini anapouzwa kama bidhaa au kutolewa ili kufidia mkopo aliochukua mzazi na binti mwenyewe ana miaka 6 ni kitu kibaya sana. Hawa watu wanapitia hali ngumu sana.

Hili hapa ni gazeti maarufu la Pakistan wamelezea vizuri hii habari

Western propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
 
Mbon kawaida sana nenda India ukaone sio mada wagalatia :DHuo ndio uchumi uliachwa na mabwana zenu wazungu na wameupandisha wana projects kibao zinakuja , moja wapo ni kilimo .

Kama ni ishu kubwa sana hayo BBC wamejaza kweny taarifa zao.
 
Mkuu acha kutetea ukatili mtu wa miaka 70 anaoa katoto ka miaka sita na unaona sawa tu eti kisa atakuja kuchezewa.

Inawezekana na wewe ni wale wale wabakaji ndo maana katoto ka watu kanakusumbua kila siku

Huyu mke angekua mtu mzima asingekua na hasira ila ulibaka tangu kakiwa todder
Sawa hamna kuoa kwa msingi ipi leta hiyo video kuonyesha hao watoto wadogo wanao nunuliwa, ndoa za utototoni zipo sana hata hapa kwetu watoto umri wa miaka 15 hulazimishwa na wazazi wao kuolewa neenda shinyanga pwani zazibar nk kama utazikuta bora mtoto aolewe mapema kuliko kuchezewa nado lengo lao, acheni black mailing, leta ushahidi kama wanauzwa sio kuolewa
 
Sawa hamna kuoa kwa msingi ipi leta hiyo video kuonyesha hao watoto wadogo wanao nunuliwa, ndoa za utototoni zipo sana hata hapa kwetu watoto umri wa miaka 15 hulazimishwa na wazazi wao kuolewa neenda shinyanga pwani zazibar nk kama utazikuta bora mtoto aolewe mapema kuliko kuchezewa nado lengo lao, acheni black mailing, leta ushahidi kama wanauzwa sio kuolewa
Acha kushabikia uharimia
 
Back
Top Bottom