Umasikini unadhalilisha sana

Quartz360

Senior Member
Mar 27, 2023
124
302
Habarini wana jukwaa!
Nakamata simu yangu nikiwa dhoofu ili hali, kwa unyonge nasukumwa kutoa kile kilicho ndani ya mtima wangu.

Sikia tu kwa mwingine Umasikini ni mbaya Sana.
Ona tu watu wanahangaika Umasikini ni mbaya mno.

UMASIKINI UNADHALILISHA SANA

Kwa hakika Umasikini ni mbaya mno. Masikini hana rafiki, masikini kula kwake kwa shida, masikini rafiki wa magonjwa, masikini kuhusu mlo Kamili kwake ni muujiza, masikini mavazi yake ni ya aibu, nyumba na hata anapolala ni ngumu kuelezeka!.

Napata ugumu kutamka kuwa Umasikini ni Laana, Ila acha nikazie,,, Naam, Umasikini ni Laana mbaya mno; masikini hujawa Roho ya wivu, husda, tamaa, na kila aina ya uovu, masikini huishi kwa kulalama, masikini huishi kwa chuki, masikini haridhiki.

Unapokuwa masikini hata maralia inaweza kukuua, hutapata huduma bora za jamii, ukienda hospitali kama hauna pesa hata huduma ni mbovu mno. Masikini hata awe na hekima vipi hawezi kusikilizwa; watu wako ladhi kumsikiliza tajiri mjinga kuliko masikini mwenye hekima.

Masikini hata kwenye vikao vya ukoo hawana nafasi tena, akitaka kutoa hoja anaambiwa anataka kuleta fujo;

Ukiwa masikini hata watoto wako watakatazwa kucheza na watoto wa matajiri, utafanyishwa mno kazi ngumu, unapiga sana vibarua tena kwa ujira mdogo, zaidi ya yote; manyanyaso itakua ndiyo chakula chako, utakuwa kama jalala, mjinga usiye na maana.

Ukiwa masikini hata jamii yako itakudharau, sio sokoni, mtaani,kanisani, msikitini au hata kwenye ofisi za serikali huta weza kuwa na uzito wowote. Kila ukitaka kuongea na mtu anawaza kuombwa hela.

Ukiwa masikini familia yako itadharaulika, Wazazi wako, Wadogo zako na hata ndugu zako, ukiwa masikini hata shemeji zako watawadharau mno dada zako, watawafanyia ujinga wa kila namna maana wanajua huna lolote.
Ukiwa masikini hata ukweni utakuwa huaminiki maana wanajua hamna kitu, hakuna atakayekuheshimu, hata vitoto vidogo vitakudharau.

Ukiwa masikini hata sadaka hutatoa, fungu la kumi kwako itakuwa mtihani, utapishana na baraka nyingi kutoka kwa MUNGU.

Hata kwenye Biashara masikini anaonekana ni mwizi, muongo na mhuni. Hata akitaka kuomba mkopo, Kama Hana kitu ni ngumu kupata. UMASIKINI ni mbaya mno.

Inafikia hatua, mama anapoteza maisha, baba, kaka, dada ama shangazi kwa sababu tu hela ya matibabu ilikosa. Mtoto anashindwa kwenda shule kwa sababu ya Umasikini, familia inashindwa kujenga hata nyumba nzuri kwa sababu ya Umasikini.

Uchawi unakua kwa kasi kwa sababu ya Umasikini, Maisha yamekuwa magumu kwa sababu ya Umasikini. Mtu anafikia hatua hata ya kudhalilisha utu wake kwa sababu ya Umasikini.

Hata mke atakudharau kwa sababu ya Umasikini.

UMASIKINI UNADHALILISHA SANA, UMASIKINI NI LAANA, UMASIKINI NI MZIGO.

Umasikini unapofusha fikra, Umasikini unaua ndoto za watu, Umasikini unaharibu uwezo wa ndani wa mtu, Umasikini unatesa watu, Umasikini unazika matumaini ya watu.
Umasikini ni mbaya mno .

Eee ndugu yangu, tusikubali kuingia katika Umasikini. Mathalani tumekulia katika familia za kimasikini, maisha yetu ni magumu,,, Lakini kwa nguvu zetu zote tuuchukie Umasikini, tuukimbie Umasikini, tuupige vita Umasikini.

Eee ndugu yangu, tuzidi kupambana, tuzidi kuhangaika huku na kule, ili tuweze kushinda vita hivi, tujipe ujasiri thabiti, tuweke bidii katika kazi, tuwe na nidhamu ya fedha, tutafute maarifa na tumwombe Sana MUNGU atusaidie ili tuweze kufanikiwa kuikwepe Laana hii.
Inawezekana Wazazi wetu ni masikini, Hilo kwetu siyo shida, tunao uwezo wa kubadili hiyo hali, tusikubali watoto wetu pia wapite kwenye shida tulizopitia au tunazopitia sisi, tuukate mnyororo wa Umasikini kwa namna yeyote Ile, tupige kazi kwa bidii, tuwe na malengo thabiti, fikra chanya na udhubutu mkubwa katika kupambania kesho yetu, hakika tutafanikiwa.

UMASIKINI UNADHALILISHA SANA.
TUPIGE VITA UMASIKINI.

Ahsanteni!
1690661360607_1.jpg
 
View attachment 2702497
Kontawa umeibukia huku😅😅
 
Mungu ni mwema siku zote, atuepushe wote na umasikini/udhalili/ufukara nk.

Wale tuliojaaliwa tuwajali na wenzetu kila wanapotuhitaji, tujitahidi pia kutembelea nyumba za yatima na kutoa misaada pia.
Sio kweli,

Mungu sio mwema siku zote.

Huo umaskin kuwezekana ni mpango wa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.

Kuwepo kwa watu wenye hali mbaya na umaskini kama walioletwa na mtoa mada, inadhihirisha kabisa Mungu huyo hayupo.
 
#Tupige vita umakini
 
Hata shuleni huwa tunapewa mitihani na inatuhitaji kuifaulu ili tusonge mbele, vinginevyo tungekuwa tu tunavuka madarasa bila mitihani.
 
Huu ugonjwa ni hatari sana, ni kwamba wengi wanaumwa na kuongeza siku kwa dozi, ila wakihitaji kuishi zaidi inawezekana pia.
 
Hata shuleni huwa tunapewa mitihani na inatuhitaji kuifaulu ili tusonge mbele, vinginevyo tungekuwa tu tunavuka madarasa bila mitihani.
Kwamba Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anatupa mtihani?
 
Mungu ni mwema siku zote, atuepushe wote na umasikini/udhalili/ufukara nk.

Wale tuliojaaliwa tuwajali na wenzetu kila wanapotuhitaji, tujitahidi pia kutembelea nyumba za yatima na kutoa misaada pia.
Kabisa
 
Na hakuna umaskini mbaya zaidi kama wa afya, ukizaliwa na afya shukuru uitumie vizuri kwenye nguvu z kutafuta pesa.
Ni mtaji tosha kwa kweli, ili uweze kufanya juhudi katika kazi zako.
 
Back
Top Bottom