Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,498
- 82,518
Ya ssh😎Serikali ipi ndugu yangu?
Ya ssh😎Serikali ipi ndugu yangu?
Nimekaa paleeee👉👉👉👉👉😅Ya ssh😎
Watu wanapenda kujikatia tamaa aisee! Agemate kajichokea, Mimi as long as nina afya njema nitaenda sanbamba na wanadamu wengine! Hakuna kujikatia tamaa, nitaka dk 5 zinazobaki nasonga mbelea😂kuhusu kazi nina uzi una mpaka kazi za ndani labda hajazitaka tu au hajachapika vizuri au anasubiri za boss Samiah! Atataga aisee!Nimekaa paleeee👉👉👉👉👉😅
Nilitaka nikuite uje uone Kigoli wa miaka 30 anavyojiita mzee jamani sasa sisi ni ajuza😆😆😆
Habari yake pia ni funzo tosha kwa mabinti huko tiktok ingewafunza wengi sana wanaopapatikia wanaume wa mitandaoni!Dada mleta mada,pole sana kwa yanayokusibu,ila katika kupita magumu yote ulichokosea ni kumtukana Mungu,omba Toba,na Mungu wa rehema atakusamehe...Nyakati ngumu zipo kwa kila binadamu ila huwa zinapita,unapita nyakati ngumu ili uwe bora,Mimi niliwahi pita nyakati ngumu sana nilipauka,nilikonda ila zilipita na zimenifanya imara zaidi,Usikate tamaa hivyo mdogo wangu,kikubwa acha kufuatilia page ya huyo tiktoker yaani wapotezee wote...Mungu akusaidie kupona nafsi yako
Sijui tumeumbwa tofauti?nina miaka flani hapo nyuma nilikula rhumba,nilipigika yale mambo ya kujitia kuacha ajira ukajiajiri,huku mahusiano nayo yanaenda drama aisee acha kabisa!ila sikuwahi kujiona kama ndio mwisho wa maisha kila siku nilikuwa naiona ni baraka na yalipita!Watu wanapenda kujikatia tamaa aisee! Agemate kajichokea, Mimi as long as nina afya njema nitaenda sanbamba na wanadamu wengine! Hakuna kujikatia tamaa, nitaka dk 5 zinazobaki nasonga mbelea😂kuhusu kazi nina uzi una mpaka kazi za ndani labda hajazitaka tu au hajachapika vizuri au anasubiri za boss Samiah! Atataga aisee!
We need strong women like u, wengi wakifika hii hatua ndio ataanza kulazwa na kila aina ya uchafu, kuongeza maadui na kutamani kujimaliza! Anaweza kujitupa kokote hana cha kupoteza! Hii ni mbaya sana!Sijui tumeumbwa tofauti?nina miaka flani hapo nyuma nilikula rhumba,nilipigika yale mambo ya kujitia kuacha ajira ukajiajiri,huku mahusiano nayo yanaenda drama aisee acha kabisa!ila sikuwahi kujiona kama ndio mwisho wa maisha kila siku nilikuwa naiona ni baraka na yalipita!