binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,105
- 40,734
Kweli kina Ophrah wana historia hadi za kubakwa…That's not brutal it's a compliment 👌
So welcome heroine
Mwambie afwatilie historian za kina Oprah whinfrey huko. Ila sometimes ukiwa ndani ya dark moment huwezi ona nje na ndo situation ya mleta mada. Na kiendelea kukaa hivyoo atamkumbuka shuka uzeeni
Anyways anahitaji msaada wa kuamini na kukubali kuwa anaweza kuanza upya.
Msaidie basi, nimesoma maelezo yake marefu marefu, ni mtu ambaye anaelewa mambo mengi kuhusu yeye ila hayuko tayari kufanyia kazi.
Sitaki kuminimize matatizo yake, maana tunatofautiana namna ya kurespond katika matatizo.
Her great loss ni hiyo misiba, ila kuachana na huyo mwanaume mshenzi wala hajapoteza kitu.