Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,437
Karibu, ukiwiwa kuongea zaidi am hereAsante na asante sana pia kwa ku share… n

Tatizo lenu ni umalaya ,wazungu hawatakagi Huo upuuzi , mademu wa kibongo Malaya sanaNdugu zangu, mimi nakabiliana na changamoto kubwa ya maisha yangu, ambayo sijawahi kuhisi kama ipo siku itanifikia. Ni kama nimechanganyikiwa, na ukweli nimechanganyikiwa. Najiona kabisa akili yangu haina uwezo wa kufikiri.
Tatizo langu la kwanza ni umaskini. Sidhani kama nishawahi kuishi katika hali ya kiumaskini. Nilikuwa na maisha yaliyokuwa yanaendelea kawaida, lakini sasa ndiyo nagundua kuwa mimi ni maskini na sina cha kujisaidia kabisa zaidi ya matumaini. Hata jana na mwaka jana nilijikuta nimemtukana Mungu na nimejikatia tamaa, nikitamani anipe adhabu yangu ya dhambi ambayo ni kifo. Namjaribu ili tu afanikishe suala lake.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30. Hapo awali, nilivyomaliza chuo nilipata kazi na nilikuwa napata kama laki moja kwa mwezi. Trainings ndogo zikitokea tulikuwa tunalipwa, hivyo pesa zilikuwa zinaongezeka ila mpaka trainings zitokee.
Baadaye nikaja kupata kijikazi fulani nikawa nalipwa laki tano kwa mwezi, hapo nikiwa na miaka kama 25 hivi. Ila siyo laki tano tu, kuna programs ambazo zikitokea take home inakuwa laki tano, lakini muda mwingine account inaweza kusoma zaidi ya milioni mbili.
Kwa kweli nilikuwa natumia tu pesa zangu na kusomesha watoto wa dada yangu. Nina dada yangu ambaye alipata changamoto za maisha zilizompelekea mpaka kujiua.
Kwa hiyo nilikuwa natumia pesa zangu tu. Nilikuwa najiona bado mdogo na kwamba lazima ntaolewa na tutafanya vitu pamoja.
Basi nikaja kupata mwanaume wa Australia anayefanya kazi Geita kwenye migodi. Huyo mwanaume alikuwa mkubwa kidogo kwangu, zaidi ya miaka 20.
Nilivutiwa naye, lakini mara ya kwanza sikuona kama huyu mtu nitafika naye popote. Sikuwahi kumuomba chochote, lakini alidanganya kwamba familia yake ilifariki kwenye ajali. Basi nikawa interested na nikaanza kumzingatia zaidi kuliko zamani.
Akanambia ananipenda, hapo nikiwa na miaka 26, na mimi nikaona nimepata mwanaume, nikatulia naye kabisa.
Sikuwahi kwenda Australia. Tulikuwa tunakutana tu akipata muda hapa Tanzania, halafu yeye anarudi Australia.
Sikuwahi kumuuliza chochote. Nilijua kama mtu ananipenda, yeye ndiye atasema kitu.
Basi ilibidi nianze kwenda kwenye camp anakofanyia kazi. Ujinga uliniingia niachane na kazi, maana promises alizonipa ni kwamba tutaenda wote Australia akihamishwa kikazi.
Pia alikuwa ananihudumia zaidi ya pesa niliyokuwa naingiza kwa mwezi. Kingine, nilikuwa nadanganya sana kazini kwa sababu ya kwenda kuonana naye. Kila akiwa Tanzania tulikuwa tunaonana kama mara mbili kwa mwezi, hotelini na camp kwake.
Niliacha kazi, akaanza kuniudumia zaidi, kisha nikaenda Dar kwa sababu sote tulikuwa tunapenda kukutana Dar.
Basi ndugu zangu, siku zilivyozidi kwenda, mwanaume hafikirii kuja nyumbani kujitambulisha. Hatufanyi plans zozote za maisha. Nikimwambia ninunue kiwanja, anasema hawezi kununua huku.
Ila pesa ya kodi na matumizi alikuwa ananipa. Tatizo ni kwamba akili yangu ilikuwa imefungwa. Nilijua siku moja tutaenda Australia au nchi nyingine, hivyo nilikuwa naogopa kuanzisha kitu nitakachokuja kuuza baadaye.
Kwa hiyo nilikuwa nafikiria kazi ambayo nitatoa huduma tu, siyo kuuza vitu.
Kadri siku zilivyozidi kwenda, niligundua kwamba familia yake ipo hai. Akanambia ana watoto wawili wa kike na mama yao wametengana (separated). Pia anasema ana cancer na anasubiri apone ndipo waachane kabisa, halafu sisi tuje kuoana.
Akanipa pete ya promise ring, tukaendelea na mapenzi yetu.
Siku zilivyozidi kwenda, nikagundua kwamba anapendana na mwanaume mwenzake. Ila nilikaa kimya kwa sababu tayari tulikuwa kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja, nilishampenda na sikuwa na kazi, hivyo nilimtegemea.
Akaanza kutaka tufanye mapenzi kinyume na maumbile. Nilikuwa nakataa, lakini baadaye nikamwambia tukishazaa ndipo tutaanza kufanya hivyo, maana nilikuwa naogopa aibu nikiwa labour kwa sababu nilikuwa nimesikia story nyingi.
Basi akaendelea kunikumbusha sana. Nikaona nimridhishe mpenzi wangu kwa sababu niliamini tunapendana na sitakuwa na mwanaume mwingine zaidi yake. Hata kama alikuwa na shida zake, nilijua ananipenda. Nilijichanganya sana.
Mwaka 2024 ulikuwa mgumu sana kwangu. Dada yangu alifariki, mama yangu akafariki, na bibi yangu naye akafuata. Nafikiri mama yangu alipata mshtuko baada ya dada yangu kufariki, akaja kufariki miezi kama minne baadaye.
Nilikuwa na mawazo sana. Nilinenepa sana na nikaanza kunyonyoka sana nywele mpaka nikapata kipara karibu kichwa kizima. Nilinyoa kumuenzi mama yangu, na uzuri wangu nikahisi umepotea kabisa.
Pia nilikuwa najihisi mpweke zaidi kwa sababu mtu wangu akiwa Australia alikuwa ananiambia tu “good morning” na “usiku mwema”. Hakuwa anachati ndani ya siku kwa sababu anakuwa busy sana.
Nikajikuta nachat na baadhi ya wakaka ili tu niwe occupied. Siku moja alikuja, nikasahau kufuta message kwa sababu sikuwa naona kama ni jambo kubwa.
Kama kawaida yake, huwa anaangalia simu yangu. Huwa naiacha kwa sababu sina kitu cha ajabu. Lakini baada ya kuona zile message akaanza kubadilika, ingawa bado alikuwa ananiambia ananipenda.
Siku moja muda wake wa kuondoka Australia ulipokaribia, akanambia kwamba ataenda nyumbani moja kwa moja kwa sababu kuna msiba wa rafiki yake. Ila maelezo yake hayakuwa yanaeleweka na nilijua ananidanganya.
Baadaye akaniambia yupo anapanda ndege kuondoka, lakini alijichanganya na akanitumia picha ambazo aliwahi kunitumia zamani. Nikajua ananidanganya.
Nikampigia simu, akaniblock. Hakuni-unblock mpaka alipofika Australia.
Baadaye nikamuona amejicommentisha kwenye picha za msichana mwingine kwa comments za lover vibes. Wamefollowiana, nikamuuliza kama huyo ndiye demu wake. Akaniblock, na huyo msichana naye akaniblock papo hapo.
Basi nikakaa nikasubiri siku atakaporudi.
Madereva waliokuwa wanatujua waliinishangaa kwa sababu sikuwa naye tena. Mmoja akanipigia simu, nikajua tu yupo naye.
Basi huyo bwana akampa huyo mwanamke namba yangu anipigie. Akanipigia, baadaye akaniblock. Nilipompigia hakupokea, ila yule mwanaume akapokea.
Wakiwa pamoja, walikuwa wanacheka na kusema, “Huyu ni mbibi amechakaa. Huyo bwana haendani naye kabisa. Kachakaa, ni mrembo wa zamani. Sasa ni muda wetu sisi watoto wa 2000. Bwana tunae na tunatamba naye.”
Nikajiuliza walinitafuta kwa sababu gani, wakati sikuwa hata na muda wa kuwatafuta.
Basi huyo bwana naye akaniblock kabisa.
Nikapauka sana. Sina mtu wa kumkimbilia. Mama yangu keshadondoka kaburini. Nilijihisi nimechanganyikiwa na nikawaza mambo mengi. Niliumia sana kwa sababu ya aibu na kwa sababu ya watoto, hasa mmoja ambaye yupo English medium school.
Nikaona niyaachie yote kwa Mungu, lakini hasira zilinijaa.
Nilipomtafuta, akanambia kwamba aliniona nachat na wanaume na kwamba hanipendi. Hilo limenijaza hasira mpaka leo.
Naona kabisa anamfanyia huyo mwanamke vitu ambavyo hakuwahi kunifanyia mimi. Ni TikToker, wanakutana airport, wanapost picha, na sasa amembebesha mimba. Wanaendelea kucommentiana na wakati mwingine nashikwa na kichaa mpaka natamani kuwavurugia.
Sasa hivi naishi maisha ya umaskini na sina pa kukimbilia. Kama walivyosema, mimi sasa ni mbibi. Sijui nifanye nini na nianzie wapi.
Sikuwahi kutegemea maisha yangu yatakuwa hivi. Vitu nilivyokuwa naogopa zaidi maishani mwangu vimenitokea.
Ila namshukuru Mungu kwa sababu ndugu zangu wengine wamechukulia kwa uzito suala la kuwasomesha watoto.
Lakini sasa hivi nimekuwa mtu mwenye hasira sana. Najihisi nina roho mbaya na chuki kubwa.
Nilirudi kuishi kwenye nyumba ya mama yangu pamoja na watoto. Ninaishi na dada yangu mkubwa ambaye anaangalia nyumba. Hana kipato chochote, ila Mungu anasaidia tunaishi.
Kama kweli Mungu yupo, ndugu zangu, mniombee kwa sababu naona maisha yangu yanaporomoka na nahisi nitaendelea kuishi maisha ya umaskini.
Marafiki zangu wote siwasiliani nao kwa sababu ninaona aibu. Zamani tulikuwa wote tunapambana, lakini sasa mimi ni maskini asiye na mbele wala nyuma.
Ila bado nina hasira na hao watu. Sijui naachaje kuwachukia. Sitaki kuendelea kuhisi hivi, lakini nahisi haya maumivu yataendelea kuwa nami maisha yangu yote.
❤️
Nani amemfanyia mabaya?Pole sana, mrudie Mungu wako, Yeye anasamehe, achilia wale wote waliokufanyia mabaya. Utapata amani ya moyo wako, amani ya moyo wako ni muhimu Sana.
Tafuta mateja wenzako hao akina Juma mnaoendana akili ,Acha umalaya wako we lizeeNdugu zangu, mimi nakabiliana na changamoto kubwa ya maisha yangu, ambayo sijawahi kuhisi kama ipo siku itanifikia. Ni kama nimechanganyikiwa, na ukweli nimechanganyikiwa. Najiona kabisa akili yangu haina uwezo wa kufikiri.

Simuombi radhi dada yako..!Umtake radhi sister angu kumuita mjinga…..
Umesema kweli vingn…
Ni kweli sijioni kama mtu ninae faa …yaan saivi wewe ukitaka kunitukana nitukane, ukitaka kunifanya nijihisi kama zezeta kwangu ni sawa tu, siamini katika mtu kunitendea jema au heshima kwa sasa sioni kama nina hadhi iyo….yaan ni kama kipo kwny uhalisia(asili)wangu…. ni kama imprinted persona yangu…
Kingine ata mm akili yangu inaamuaga kujizingira…nakua kama nimekubali huu ndo uhalisia wangu maisha yangu ndo yameanza kupuputika,ni kama nina cancer kwa wasiolewa wataisi kama na kuza mambo ila ndo ivyo nikama naitaji tu kukubali ukweli ila nitfte namna ya kutuliza hisia zangu maana sazngn nakuaga km nimechanganyikiwa…. Nawaka moto .ila muugiza unatokeaga baada ya masaa kadha mungu ananipoza……ni vita tete inakua ndani yangu…vinatokeaga sana sazngn baada ya siku 3 nawza kuamua kutembea kma ata km zaidi ya 30…miguu inavimba na swz kutembea vzr nakua naumia visigino nikiwa narudi nymbn ikipona naweza kuendelea tena kwangu iyo ni km therapy nbdlsha njia au muonkno ila unakuta kuna wanaonkmbk.najifny km naishi karibu..au ntapata lift ikiwa ilo jambo limenitokea mchana naenda kutembea asa unakuta kurudi mda unakua umeenda sana bahati inatokea napata lift…..ivyo mungu tu anakua km na yeye ananiangalia…
Ntmn kua free km zamani ila kushakua na doa haiwzkn tena…….kumeni nyenyekeza lkn..…. sioni ntaanzia wapi kutk hapa, najua peke yangu nitafeli…naitaji niwe na mtu kila siku ya maisha yangu ananielewa sisemi mwanaume ata rfk tu wa kike…. Rfk zangu hawana mda saivi …..na mm Sina nguvu yakujiinua mwnyw..na sina watu au mtu ninae muamini kivile kumwambia hali yangu…nilmwambia dada angu mmoja kionjo tu akamwambia kaka angu akanpgia akanambia naenda kuongea nn ivyo mm ni mdada mkubwa saivi nikaona km kasirika nikajfanya naenda kula…
Binadamu ndo tulivyo…zaidi utasimangwa,utafedheheswa zaidi na unavyojskia,utahukumiwa au kuonwa kama wewe ni bogus flani ivi… sina uwezo saivi wakupambania maisha yangu…..
Uyo kaka angu ana mattzo yake ila nikikaa nae vzr anaweza kunipa ata milion 4 ivi nikaanza kitu…sjui… ila nikimkamata vzr anawz kunipa.ila naogopa ntalemewa yatanishinda…
Yaan unachosema ni kweli watu wanasema pata kazi uwe busy utasahau yote….sawa pngn sikuwai kupata ile kazi ynyw yakunipa kipato chenyw ila nimepata sehemu ya ku volunteer nilkua busy sana…lkn ule uhalisia upo ndani yangu najihisi kama mm ni mbaya, na sisahau nikiamk nawaza nikilala ndicho cha mwsho kwnye akili yangu na ndoto nikiota ni hali yangu…naona kila mtu ni bora zaidi yangu,mtu yeyote ambae sio mm naona bora yake……saivi mm kuoga nawza kuka siku nne sijaoga, kupiga mswaki tu wnyw imekua ni kazi kwangu.. sjhic vbaya kinywani ile kwamba mate mabaya kumeza utajhc kichefchefu km wengi wenu mnavyojskia mm sina na meno yangu naona ata hayachafuki sana naweza kumrza wiki sjapiga mswaki na nisinuke ila ntajivuta ile kukumbk kwamba jitaidi angalau upige mswaki….. Mwili wa binadamu ni wakuwindwa ukiwa vzr tu mdomo unanuka huwz ata kula kitu bila kupiga mswaki,mm saivi nakula vzr tuu bila kuhisi uncomfort yeyote.. zamn nilkua swz kutembea nimevaa dera au sipo vzr saivi navaa dera tuu… kuvaa suruali ni kazi nyngn ya kunichosha ..narusha zangu dera ndani sivai kitu zaidi ya chupi.. aya twende …ntatoka zangu yaan mengn sio shda zangu………na ynyw ni kwamba iyo dera ndo unakuta nililala nalo na kushinda nalo siku 3 nyuma….
Mimi ni broken …najhc kama mtu alievunjwa sio kimwili tuu hadi rohoni na kwnye nafsi…….nikama tunavyoskiaga yule jamaa aliekufa na kufufuliwa na yesu hakuwai kua sawa tena wala kucheka tena…ndo nilivyo najua sitokuaga sawa tena maishn mwangu uwa nakaaga najiurzaga tena kwa sauti ivi ipo siku na mm ntakuja tu kua mtu mwnye utulivu wa nafsi sio ata niwe na vitu nipate angalau icho au niwe kuformat ubongo nisahau yote…..au Mungu anifanye nikubali hali yangu na anipe ujasiri wakuishi vyovyote vile bila kufikira sana..
Kua kwnye mahusiano mapya… yaan ile kupata mtu sidhan kama ata naweza kua kwnye hayo mahusiano na mtu mwngn naona kama sio sawa kabsa mtu yeyote kunitman najihisi kbsa uyo mtu mwngn kua na mimi nikama anajiopolea mikosi…
Mda mwngn akili yangu ikipotezea kdg kwnye uhalisia wake.nikama nikiwa nimjhx kua nakafuraha kdg….uwa naenda kujikumbushia kua mm ni fala,(disgusting,worthless,stupid,ugly)
Najikumbushia…ila unakuta kila siku 24 hrs uwa najijua mm ni uyo mtu……
Na ushenzi wa kufirana ,huu ni udumavu wa akili Kabisa ,yaani nikikukuta unamfira au nikisikia hivyo unamfanyia Dada yangu nakumwaga maviNilijua tu story ya wazungu mwisho ni kuruka ukuta, wazungu washenzi sana sijui kwanini mnawapapatikia
Kutoka kwenye trauma ni kutokujihusisha nayo kubali kila kitu kwa sasa dharau, matusi, misonyo, mateso, masimango nk vyote viwe kawaida kwako utafanya mishe zako na utakuwa poa kabisa
NB, Usigawe namba ya tigo tena acha kabisa hiyo laana
Story hii inatakiwa iwe funzo kwa wengine wajifunzeNa ushenzi wa kufirana ,huu ni udumavu wa akili Kabisa ,yaani nikikukuta unamfira au nikisikia hivyo unamfanyia Dada yangu nakumwaga mavi
One of them raw, honest bitchez that I admire in here. Umempatia kile anapaswa kusikia na sio kufurahishaMwaya.
Maisha ya mwanamke hayatakiwi kusimama sababu ana mpenzi, sijui kwanini hii mistake ni rahisi sana kumuangusha mwanamke. Hautakiwi kuacha kuishi maisha yako ukaanza kuishi maisha ya mwanaume ambaye hajakuoa based on promises. Tujifunze kwa watu ambao yalishawatokea sio lazima kila kitu kitutokee sisi wenyewe ndio tujifunze.
Nimeona unajua sana kuandika, naomba ufungue account kwenye mitandao ya kijamii (pie jina lolote) anza kupost ushauri kwa mabinti kupitia mistake zako, by sharing utaheal part of your soul iliyovunjika, utakuta a na mamia ya wanawake wenye eksipiriensi kama yako utagundua umefanya mistake ambayo majoriti wanafanya inaweza kukupa motivation uinuke tena.
Kuhusu kazi, kama bado unatafuta na kama unaishi Dar nenda kariakoo anza uwinga, post bidhaa za watu tumia account za kijamii kutangaza, sio rahisi ila huna option mwenetu inuka hapo we mkubwa mzima usipoinuka hakuna wa kukuinua.
Usianze kutafuta mpenzi mpya, mapenzi yamekuharibu, hutomtendea haki huyo mpenzi mpya we unahitaji kazi, biashara na si mapenzi kwa sasa.
Uamuzi ni wako uanze au uendelee kusikilizia stress za mapenzi.
Mkuu weee ni narcissist kabisa😂 unampa mtu makavu aka jinyonge🤣Simuombi radhi dada yako..!
Labda kama una upande wa pili wa story yako na aliitikiaje hapo unaweza nishawishi nisimuhukumu
Na hata nikihukumu bado ni hisia zangu sio zako hazikuhusu
Hiyo tabia yako ya kuamini watu na kuwakingia kifua hujajifunza kuiacha.! Utajua mwenye
Ila kama utaendelea hivi kuruhusu upumbavu wako uweke mazigawa kwenye akili yako upo karibu na stroke.!
Na itakukutandika pindi unapoanza kuhisi ubaridi kwenye viungo ujue umeyumba
Ila vizuri bado hujui Gambe ni nini iyo nayo ahueni
Ungekuwa unalewa mpaka wanakubaka. 🤭
Siopendi kusema hivi ila sema gari yako ilikua nyeupe sana na nyepesi watu wakapima Aura wakakushushia Zigo.!
Jifunze kujidhalilisha ndio funguo ya zigo lako
Sisemi ukauze mchicha kwenye beseni
Ushasema ulianza kwa pato 100k na posho.!
Ukaja 500k na posho zaidi ya 200% ya pato
Ukapata mtu anakupa zaidi ya hiyo.! Maana yake wewe huwezi kuishi maisha ya kawaida ya beseni kichwani unatafuta 10k all along a day
Huyo mtu kakupoteza na kavyonza aura yako yote kakuachia gundu seuze msodoma
Msahau haraka sana kwa afya ya akili yako
Nenda kasafishe viti kanisani na vyoo vyake jifunze kusema Sina kitu nisaidie ili kuua kuburi chako cha zamani
Kisha kuwa wewe uta elevet kwa kasi ya kimbunga
That’s so brutal but i take it! 🤣One of them raw, honest bitchez that I admire in here. Umempatia kile anapaswa kusikia na sio kufurahisha
Na dada yako umkate vidole!!!Na ushenzi wa kufirana ,huu ni udumavu wa akili Kabisa ,yaani nikikukuta unamfira au nikisikia hivyo unamfanyia Dada yangu nakumwaga mavi
That's not brutal it's a compliment 👌That’s so brutal but i take it! 🤣
I appreciate champ!
Tuambiane ukweli tutasaidia sana, watu wamefanya makosa mengi duniani na dunia imewapa second chance tunawaona wanapambana na wanaendelea mbele. Kama tu wataamua kufanya hivyo. Dunia haitaki uzembe.