Umasikini Mbaya, Unaogopesha, Unatisha

Umasikini Mbaya, Unaogopesha, Unatisha

Kuna watu wako okay na hiyo hali,hata upambane vipi kuwasaidia ni kazi bure. Nilichojifunza kila mtu atajikwamua mwenyewe kadri atakavyoona inafaa.
Kwa upande wangu naona jamaa yuko sahihi, watu hutofautiana sawa ila kuna situation unaweza kutana na mtu somewhere anahitaji msaada wako tu atoboe. Hapo inabidi umsadie maana wema siku zote ni akiba huwezi jua utajilipa lini na vip
 
Miongoni mwa vitu vinavyawapa watu faraja ya kweli ni pamoja na matumaini na kumbukumbu nzuri, jnapomsaidia mtu always ukiona yule uliyemsaidia amefanikiwa unapata faraja kubwa sana. Tusaidian tu kwa sababu hata na sisi wenyewe tusingekuwa hapa tulipo bila kusaidiwa.
 
Kuna mstaafu kasomesha wanae kwa uchungu sanaa wote wanne wa lipata degree tofauti tofauti vyuo vikuu. Ila chakushangaza wote wameokoka wanashuda kanisani kunene neno la mungu mchana na usiku hawataki kutafuta ajira, tena sio kwamba ni viongozi wa kanisa ni wa fuasi wa kawaida wanao toa Sadaqa.....hiyo ni laana.
Mtu kukabidhi maisha yake kwa anayemuamini kwamba ndo muumba wake ni laana?! 😳😳😳

Mtu kusimamisha ibada ni laana?!

Mtu kuiweka kando dunia ingawa ana elimu na akaamua kuwa servant wa muumba wake na kuisimamisha imani yake ni laana?! 😳😳😳

Kiongozi hebu jitathmini.. huenda wewe ndo mwenye laana 😅👍🏾
 
Mtu kukabidhi maisha yake kwa anayemuamini kwamba ndo muumba wake ni laana?! [emoji15][emoji15][emoji15]

Mtu kusimamisha ibada ni laana?!

Mtu kuiweka kando dunia ingawa ana elimu na akaamua kuwa servant wa muumba wake na kuisimamisha imani yake ni laana?! [emoji15][emoji15][emoji15]

Kiongozi hebu jitathmini.. huenda wewe ndo mwenye laana [emoji28][emoji1474]
Kwani kufanya ibaada ni lazima ushide kanisani. Kuna haja yakupata maisha ajira ni muhimu yesu hatowi pesa taslimu lazima uende ukaitafute
 
Kuna mstaafu kasomesha wanae kwa uchungu sanaa wote wanne wa lipata degree tofauti tofauti vyuo vikuu. Ila chakushangaza wote wameokoka wanashuda kanisani kunene neno la mungu mchana na usiku hawataki kutafuta ajira, tena sio kwamba ni viongozi wa kanisa ni wa fuasi wa kawaida wanao toa Sadaqa.....hiyo ni laana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
Huyo alikuwa haamini kama kweli kuna mtu atampa laki tatu na nusu.
 
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.

Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
kuna maskin wa kifikra huyu ni ngumu sana kumnyanyua maana anaamini umaskin ndo haki yake ( by nature ) ukimpa mtaj atakula akiamin ela unazo utampa tena
 
Niko tofauti na mawazo yako hakuna mtu kazaliwa kuja kuwa masikini hapa duniani
kuna umaskin wa mali na fikra , huyu wa fikra ndo ngumu kumnyanyua maana hata akili yake inakuwa ishaathirika na umaskin ( kakata tamaa kabisa ) , nmewai kutana na mtu wa hv nlijitahidi sana ila nkaja gundua akili yake ishaaoza kwa umaskini aliopitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom