DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,907
- 4,235
Hivi hili lina ukweli kiasi gani?Laana inatafuna watu kama nini mchungeni ukoo mnako oa kuna koo kwao kumiliki gari ni marufuku, na utajiri bila gari ni sawa sawa na umasikini.....
Maana nimeshalisikia sana.

