Kweli mbaya lakini ukikulenga ikubali tuKama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Wewe hapo ulipo tajiri?Niko tofauti na mawazo yako hakuna mtu kazaliwa kuja kuwa masikini hapa duniani
Mungu atusaidie aisee ni kitu kibaya sana..umasikini mbaya na unatesa na hata heshima hakuna ee Mungu nisaidie
Kuna watu Wana laana ya umasikini ukioa kama ni Kazi ukioa utafukuzwa, biashara itafilisika na pana wanawake Wana kibali yaani ukimuoa ulikuwa masikini unapata Kazi au biashara kunyooka.Kwann unasema ivo mkuu??kipind ujaoa ulikuwa na hela?
Hakuna mtu anazaliwa maskini au utajiri vyote tunavikuta hapa ...sawa umezaliwa ktk familia ya kimaskin so wat... unafanya nn kubrek hiyo chain..utajiri ni mgumu dats matajiri ni wachache na utajiri unarithiwa vile vile..suala la kufanikiwa kutoka katika umaskin na ufukara ni utashi wa mtu binafsi mwenyewe kuukata from within na kuamua kupambana regardless atapata kiasi gani ilimradi avuke kutoka hatua aliyokuwepo kwenda nyingine..kufanikiwa ni mchakato ambao wengi wao hawataki kupitia hatua hiyo wanapenda mafanikio vila jasho..mtu anapenda afaidi cha mezani na sio shambani,apewe samaki na sio nyavu..kijana ananguvu analalamika njaa ambayo ni deni la.maisha hata ukipewa pesa leo inaisha kwa kutuliza njaa ya leo tu while kuna vijana wenzie wanamake life kwa kitoil na maisha yanasonga na wanaendesha familia zao..most of them hawapendi kulazwa ukweli wanachukia ukiwambia hiyo life style sio wamekuwa ombaomba kila siku.Watu wengine umasikini ni kama laana ataufanyeje huwezi kumtoa kwenye umasikini,.......
Kama kuna kaukweli iv.Kuna watu Wana laana ya umasikini ukioa kama ni Kazi ukioa utafukuzwa, biashara itafilisika na pana wanawake Wana kibali yaani ukimuoa ulikuwa masikini unapata Kazi au biashara kunyooka.
Wahindi na waarabu hawaoi hovyo hovyo Wanajua siri hii
Ukitaka ugomvi wa rejareja jifanye motivational speaker kwa aina hiyo ya watuKuna watu wako okay na hiyo hali,hata upambane vipi kuwasaidia ni kazi bure. Nilichojifunza kila mtu atajikwamua mwenyewe kadri atakavyoona inafaa.
Na mzazi wa aina hii hajui jamani ya elimu kwa kuwa yeye mwenyew hawakusoma maisha yanasonga,anazalisha hovyo bila mpangilio na hawajibiki kwao kama baba,watoto wanahitaji mahtaji muhimu baba hana kitu unategemea nn kama sio kuendeleza chain ya umaskiniTutasingizia mifumo ila hapana mfano
Elimu kwa sasa ni bure ila mzazi hajishughulishi kabisa kufuatilia maendeleo ya mtoto, hanunui vitabu wala madaftari.
Mtoto anafika la 7 hajui kusoma wala kuandika, hapo ulitaka mfumo gani?
Mzazi anaamua kuzaa zaa hovyo bila mpangilio hapo wategemea nini kama sio kuendeleza umasikini?
Shw.....Hiyo mifumo unayoitaja kijuuju ndio ipi? Manake unasema kuwa ndio haisapoti watu "Kujikwamua" n.k Nikuulize.... Kujikwamua ndio nini? unaweza niwekea tafasiri yake mkuu?Umasikini ni Mkubwa KWA sababu mifumo yetu haisapoti watu kujikwamua tofauti na mifumo ya ulaya kule umasikini unataka mwenyewe.
Unafanywa muwe wengi masikini Ili iwe rahisi kuwatawala
Rejea mfumo wa uchumi wa kikoloni ulikuwa setteded kumuinua mwafrika,KWA kutengeneza mifumo inayowafosi watu kufanya Kazi kwa kuwatengenezea mazingira ya Kazi kupitia raslimali hizi hizi nchini.Shw.....Hiyo mifumo unayoitaja kijuuju ndio ipi? Manake unasema kuwa ndio haisapoti watu "Kujikwamua" n.k Nikuulize.... Kujikwamua ndio nini? unaweza niwekea tafasiri yake mkuu?
Je, tunaweza iga hiyo mifumo ya ulaya na tukajikwamua?
Vilevile unaweza niwekea kauthibitisho wangalau wapi 'tunafanywa' tuwe maskini ili tutawaliwe? Nina waraka ninaoandika kuhusu Umasikini na hivyobasi Taarifa yeyote utakayo nipa au kutoa itanisaidia. Ntanguliza shukurani
Watanzania wengi umaskini ni ufahari.Watu wengine umasikini ni kama laana ataufanyeje huwezi kumtoa kwenye umasikini,.......
Rejea mfumo wa uchumi wa kikoloni ulikuwa setteded kumuinua mwafrika,KWA kutengeneza mifumo inayowafosi watu kufanya Kazi kwa kuwatengenezea mazingira ya Kazi kupitia raslimali hizi hizi nchini.
Nani huyo anayeleta vikwazo hivyo, je mifumo yote ya kodi imewekwa kukomoa? Unao mfano wa nchi yeyote iliyokuwa na mifumo ya kodi isiyokomoa?Rejea sasa
Vikwazo kibao urasimu kibao kwenye vibali, mifumo ya kodi imewekwa kukukomoa,
Nina ndugu zangu weupe tu, nadhani ulimaanisha mzungu? mhindi?mweupe atapata mkopo kupitia ardhi hii hii atapata pesa ataenda wekeza ulaya.
AiseeHakuna mifumo ya kuinua vipaji na ubunifu utakufa nao.
Ni nani huyo unaye mzungumzia? Bahati nzuri nimepata vijitakwimu zinazoonyesha 'positive impact' kwenye uchumi sasa wewe unaona hiyo 'positive impact' imekosekana wapi? Manake kama kuna 'positive impact' kwenye uchumi, ina maana kuna muelekeo mzuri wa watu 'kujikwamua' na umasikini kwasababu watu masikini wanajishughulisha na uchumi au?Wanawaloga wananchi kupitia mwenge, hawataki uraia pacha wakiwahofia diaspora wataleta positive impact
Utavunjaje hiyo laana?Umasikini ni laana bila kuivunja laana kwanza utoboi. Mafanikio yote uanzia rohoni
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!

Unamvuta kwa nia nzuri tu..utashangaa hakai hata mwezi mara kakutombea mkeo,mara kaiba pesa katembea mbele![]()



Nami naamini ipo siku moja nitapata pesa niache kula mtoto wake kuku (mayai), nile kuku.Nami naamini ipo siku Moja nitapata pesa nami ninunue sabufa.