Umasikini Mbaya, Unaogopesha, Unatisha

Umasikini Mbaya, Unaogopesha, Unatisha

Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
Huku ni kuendekeza shida na dhiki, mtu wa namna hii hujiona yeye ndo ana shida, matatizo na maisha magumu kuzidi wenzake. Haya ndo matokeo yake. Hutanguliza tamaa mbele kuliko matumizi ya akili.
 
Mkuu sio story hili nalishuhudia mwenyewe na nahusika kabisa, achana kitu laana ni hatari sana kwa binaadamu.
Usijibizane na watu wenye laana mkuu! Hivi we msagaji au shoga unamuona ana akili timamu?! Au mtu anaesapoti watu wa namna hiyo na kuwatetea kuwa kufanya kwao uovu huo, ushetani na dhambi ni haki we unamuonaga ana akili?! 😀

Usingemjibu mkuu
 
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.

Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Naunga mkono hoja
 
Usijibizane na watu wenye laana mkuu! Hivi we msagaji au shoga unamuona ana akili timamu?! Au mtu anaesapoti watu wa namna hiyo na kuwatetea kuwa kufanya kwao uovu huo, ushetani na dhambi ni haki we unamuonaga ana akili?!

Usingemjibu mkuu
Usijishaulishe zile chats zako unazotongoza wanaume wenzio zimevuja
Hivi ulijiteteaje? Nikumbushe tena
 
Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
kwa utetezi huu, naunga mkono hoja.!
 
😀😀 Huoni 28000 kwa siku ni kubwa bila kufanya kazi labda hiyo kukimbia tu

😀😀😀

Aki the struggle is real.
 
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.

Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
umeongea jamaa la maana sana ndg yangu.
nakumbuka siku za nyuma kuna mtawala mmoja aliwahi kuwaaminisha baadhi ya watz kwamba maisha ya umaskini ni utakatifu na maisha yenye nafuu nje umaskini ni laana.

kwa bahati mbaya alipata wafuasi wengi walioamini hiyo nadharia yake. ilikuwa ni sumu ya hatari, ilifika wakati baadhi ya "maskini wenzangu" walianza kujenga chuki na watu wenye kipato ktk jamii.

bahati nzuri sana Mungu akaingilia kati, akamuondoa. sijui hali ingekuaje kama angeendelea kuwepo mpaka leo.
 
na chanzo cha umasikini bongo yetu ni ukosefu wa ajira na uwezeshaji kwa vijana ndio maana wengi wetu tunakula ukoko mtaani.

pili udini na kujuana/connection shida kinoma noma tunafukuzia michongo wanapewa kina makame pekee.
Pambana mkuu , waliofanikwa wengi wameanzia chini , kidogo kidogo wakanyanyuka , Sasa wewe kama unashindwa kufanya biashara ndogo ndogo na kuanza kulalamika kama unavyolalamika hapa , tambua Bado unasafari ndefu mkuu , hakuna mtu atakayekuja kukukwamua ,
Nahisi hapa watanzania wengi ndio tunapofeli kwenye suala la kulalamika

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
nimekusoma motivational speaker,

nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.

Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Hakuna tusi kubwa kama umasikini. Hupendwi. Hupendeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom