Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.

U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko Shinyanga wakikujua wewe mchawi unawatia watu vifungo vya umasikini unakula mapanga tu kama ilivyo amriwa kwenye kitabu cha KUTOKA 18:22 ( KUTOKA 22:18?)

Namshukuru Mungu sasa nyota yangu ya hela imerudi tena. Biashara zimesimama. Ile ishu niliyo kuwa naisikilizia imesha tiki. Watoto wangu nimewarejesha tena shule za English Mediums na maisha mengine yanaendelea.

NINAUKATAA NA KUULAANI UMASIKINI KWA NGUVU ZANGU ZOTE ROHO YANGU YOTE NA AKILI ZANGU ZOTE.

Watu wote walio nitosa wakati napitia kipindi kigumu hasa hasa wale ambao niliwahi kuwasaidia nimewasamehe wote but I will never hang up with you again . I will never help you about anything. You will never get even a penny from me. I eill never pick up your phone. I will never call you I will never reply to ur message. ( I am.saying I will.never pick up ur phones as if namba yangu mpya mnaijua/mtaijua) I will give anyone of you a lift in any of my cars. Ntaonana na nyinyi labda kwenye misiba too and even though still I will.never talk to you again cause I don't know anything that me and you can talk about )

Na kwale ambao mlisimama na Mimi katika kipindi hicho cha mpito mbarikiwe sana. Nitasimama na nyinyi kwa kila.hali na.mali.

Kama.mapito niliyo kuwa nayapitia yanatokana na kurogwa au kuibiwa nyota basi NINAWALAANI wahusika wote wao na vizazi vyao vyote.

And as for you the evil spirit of poverty. I curse you to the depth of the abyss
Eti waliokutosa umewasamehe..!! Kwa uliyopanga kuwafanyia hao waliokutosa, HUJAWASAMEHE..!! HUWEZI MSAMEHE MTU HUKU UNASEMA I will never do this or that to you again..!!
 
Kama umeamua kuwasomesha watoto English medium basi pambana mpaka mwisho wa uwezo wako.

Kuwarudisha kayumba ni kuwaharibu kisaikolojia
 
Eti waliokutosa umewasamehe..!! Kwa uliyopanga kuwafanyia hao waliokutosa, HUJAWASAMEHE..!! HUWEZI MSAMEHE MTU HUKU UNASEMA I will never do this or that to you again..!!
Yes nimewasamehe kwa maana ya kwamba sinto watafuta kulipa kisasi au kuwadhuru kwa sababu wengine nilikuwa nawadai hela wakanidhulumu hawakunilipa hata kidogo plus maneno ya uzushi mtaani na kunisengenya.

Sintofanya hivyo but i will never deal with them again.

Mimi sio Yesu mkuu
 
Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.

U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko Shinyanga wakikujua wewe mchawi unawatia watu vifungo vya umasikini unakula mapanga tu kama ilivyo amriwa kwenye kitabu cha KUTOKA 18:22 ( KUTOKA 22:18?)

Namshukuru Mungu sasa nyota yangu ya hela imerudi tena. Biashara zimesimama. Ile ishu niliyo kuwa naisikilizia imesha tiki. Watoto wangu nimewarejesha tena shule za English Mediums na maisha mengine yanaendelea.

NINAUKATAA NA KUULAANI UMASIKINI KWA NGUVU ZANGU ZOTE ROHO YANGU YOTE NA AKILI ZANGU ZOTE.

Watu wote walio nitosa wakati napitia kipindi kigumu hasa hasa wale ambao niliwahi kuwasaidia nimewasamehe wote but I will never hang up with you again . I will never help you about anything. You will never get even a penny from me. I eill never pick up your phone. I will never call you I will never reply to ur message. ( I am.saying I will.never pick up ur phones as if namba yangu mpya mnaijua/mtaijua) I will give anyone of you a lift in any of my cars. Ntaonana na nyinyi labda kwenye misiba too and even though still I will.never talk to you again cause I don't know anything that me and you can talk about )

Na kwale ambao mlisimama na Mimi katika kipindi hicho cha mpito mbarikiwe sana. Nitasimama na nyinyi kwa kila.hali na.mali.

Kama.mapito niliyo kuwa nayapitia yanatokana na kurogwa au kuibiwa nyota basi NINAWALAANI wahusika wote wao na vizazi vyao vyote.

And as for you the evil spirit of poverty. I curse you to the depth of the abyss
We jamaaa duhhh
 
kumbe na wewe ni wale wale malofa.
 
Back
Top Bottom