Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Castro alikuwa mwehu sana .
.. kuna ile moja aliyo mnywesha demu wake wa AMERCA ..sharubati ili mimba aliyobeba ( ambayo ni ya castro ) iharibike .. demu alipo ondoka kurudi kwao USA akakutana na CIA wakamjaza upepo kuwa Castro ni mtu mbaya ameitoa mimba yake ...so wakamuagiza cuba ili akamuue ... demu alipo fika tu kwa castro ... castro akampa bastola akamwambia najua umekuja kuniua haya chukua bastola hiyo unimalize kama utakavyo.... (demu akaanza kulia nakumwaga siri yote ) hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.... Huyu bwana nilipata details zake alikuwa mtu wa kufanya sana meditation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza japo sijui nita kuwa nje ya mada, hivi unaweza kuoa au kuishi na mwanamke siku nyingi pasipo kujua kama kazi yake ni spy au huwa wana oana wenyewe kwa wenyewe?
Inawezekana kabisa ukaishi nae na usijue ila kama tu utakuwa kilaza upande mambo ya kijasusi ....kuna demu nilikuwa nae kipindi fulani nikamstukia kuna siku nikataka kujua ukweli ...nikambana kuwa anafanya Kazi gani na pia nikawa namwambia kuwa atakuwa kahaba anajiuza,basi ikamuuma sana ndo akafunguka yy ni nani hasaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr..mwanamke ameumbwa na vitu vifuatavyo
1.extra strand on their DNA.
2.uwezo wa kutunza siri kwa mda mrefu..
3.multitasking..uwezo wa kifanya kazi zaid ya moja kwa wakat mmoja..
4.good memory(more than 5+-2)
5.versatility..

Sasa akiwa trained kwa kazi hizo na kwa mlengo huo hiwa hawamis target..mafunzo yao yanachukua mda mrefu sana..na screening yao hufanywa na wataalam wabobezi..huwa wanakiwa trained kila eneo...hata kufanya ngono wanakiwa traines..si kweli kwamba huwa wanaondolewa hisia..no...no..maana bila hizo ufanis wa kaz unakiwa mdogo...isipokuwa tangu mwanzo anapoanza kukutrap huwa kuna calculation anazofanya ni mda gan utoe siri..na mara nyingi siri nyingi huzipata punde tu mara baada ya mwanaume kupiga bao(ipo sababu)
Popote walipo wana silaha..na silaha zao nyingi ni vitu ambavyo huwez kuvidhania mfano..banio la nywele,lipstick,kioo kidogo,bangili,vidonge maalumu...na wamefundishwa mbinu na namna ya kutumia na kuondoka bila kuacha alama...
Kuna maua flan hiv huko iringa(mafinga) ..yapo sana..hayo hutumika hasa kwa ajili ya kuamshia ashki ya mwanaume..maua hayo yanasagwa na kuwa unga..kisha kwa ustadi mkubwa anakupaka mwanaume shingoni au puan na ukishavuta ile harufu(wala huwez jua)bas ashki zitapanda na utataman kufanya mapanz na hapo yy atatumia taaluma yake kukufanya useme kile ambacho hukupaswa kukisema....
Na huwa hawana haraka..unawwza kaa nae ktk mahusiano hata mda mrefu ili akujengee iman...
Jambo la msingi la kujua ni kwamba ujasusi unahitahi mtu sahihi na sio mtu mwerevu..(right person and not the best one)..wanawake ni wazur sana katika hili..wanaume wana flaws nyingi sana..hata wanawake wapo wwnye flaws lakin si kama wanawake..
Mpaka leo wapo ..na wataendelea kuwepo sana..mipango mingi na siri nyingi huvuja kupitia watu hawa...
Nimevutiwa na huyo lilith..nimekutana na simuliz hizo na nimeona vitabu huku niliko na watu wanaamini kuwa ndivyo ilivyo..(japo ni jamii ndogo)..
Otherwise..women are by far ahead of men in that field..
 
Naomba kuuliza japo sijui nita kuwa nje ya mada, hivi unaweza kuoa au kuishi na mwanamke siku nyingi pasipo kujua kama kazi yake ni spy au huwa wana oana wenyewe kwa wenyewe?
Not Exactly....the ability for her to have the cover story from the beginning will keep you at a bay....but there is a limit unles you as a man cannot think beyond the next meal..
 
Mshana Jr..mwanamke ameumbwa na vitu vifuatavyo
1.extra strand on their DNA.
2.uwezo wa kutunza siri kwa mda mrefu..
3.multitasking..uwezo wa kifanya kazi zaid ya moja kwa wakat mmoja..
4.good memory(more than 5+-2)
5.versatility..

Sasa akiwa trained kwa kazi hizo na kwa mlengo huo hiwa hawamis target..mafunzo yao yanachukua mda mrefu sana..na screening yao hufanywa na wataalam wabobezi..huwa wanakiwa trained kila eneo...hata kufanya ngono wanakiwa traines..si kweli kwamba huwa wanaondolewa hisia..no...no..maana bila hizo ufanis wa kaz unakiwa mdogo...isipokuwa tangu mwanzo anapoanza kukutrap huwa kuna calculation anazofanya ni mda gan utoe siri..na mara nyingi siri nyingi huzipata punde tu mara baada ya mwanaume kupiga bao(ipo sababu)
Popote walipo wana silaha..na silaha zao nyingi ni vitu ambavyo huwez kuvidhania mfano..banio la nywele,lipstick,kioo kidogo,bangili,vidonge maalumu...na wamefundishwa mbinu na namna ya kutumia na kuondoka bila kuacha alama...
Kuna maua flan hiv huko iringa(mafinga) ..yapo sana..hayo hutumika hasa kwa ajili ya kuamshia ashki ya mwanaume..maua hayo yanasagwa na kuwa unga..kisha kwa ustadi mkubwa anakupaka mwanaume shingoni au puan na ukishavuta ile harufu(wala huwez jua)bas ashki zitapanda na utataman kufanya mapanz na hapo yy atatumia taaluma yake kukufanya useme kile ambacho hukupaswa kukisema....
Na huwa hawana haraka..unawwza kaa nae ktk mahusiano hata mda mrefu ili akujengee iman...
Jambo la msingi la kujua ni kwamba ujasusi unahitahi mtu sahihi na sio mtu mwerevu..(right person and not the best one)..wanawake ni wazur sana katika hili..wanaume wana flaws nyingi sana..hata wanawake wapo wwnye flaws lakin si kama wanawake..
Mpaka leo wapo ..na wataendelea kuwepo sana..mipango mingi na siri nyingi huvuja kupitia watu hawa...
Nimevutiwa na huyo lilith..nimekutana na simuliz hizo na nimeona vitabu huku niliko na watu wanaamini kuwa ndivyo ilivyo..(japo ni jamii ndogo)..
Otherwise..women are by far ahead of men in that field..
Mkuu za masiku mingi ,nimefurahi kuona umetia neno hapa

Mkuu ,una maana gani kusema wanawake wana "Extra strand kwenye DNA zao"???

unamanisha nini hapo...??
 
".. traines..si kweli kwamba huwa wanaondolewa hisia..no...no..maana bila hizo ufanis wa kaz unakiwa mdogo...isipokuwa..... " si wote wanafanywa hivi lakini wale majasusi wa kimafia na magenge ya biashara haramu hufanyiwa hivyo... Nimeweka na chanzo ni kitabu cha Nick carter SLAVE MASTER

Jr
 
Castro alikuwa mwehu sana .
.. kuna ile moja aliyo mnywesha demu wake wa AMERCA ..sharubati ili mimba aliyobeba ( ambayo ni ya castro ) iharibike .. demu alipo ondoka kurudi kwao USA akakutana na CIA wakamjaza upepo kuwa Castro ni mtu mbaya ameitoa mimba yake ...so wakamuagiza cuba ili akamuue ... demu alipo fika tu kwa castro ... castro akampa bastola akamwambia najua umekuja kuniua haya chukua bastola hiyo unimalize kama utakavyo.... (demu akaanza kulia nakumwaga siri yote ) hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
very interesting
 
Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise

Sent using Jamii Forums mobile app
lol aisee! imenisikitisha na kunishangaza,mbinu mbalimbali za kum"brainwash" mwanadamu.inasikitisha.
koment hii imenifunza kitu hearly.
 
Lol .. ndio hivyo mkuu .. Wenye nguvu kimamlaka na madaraka ndio wanao amua kuwa jamii iwe na mtazamo" tunaweza kujiona kuwa tuna mawazo chanya na akili nyingi kumbe jinsi tulivyo sivyo vile tulivyo paswa kuwa halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr..mwanamke ameumbwa na vitu vifuatavyo
1.extra strand on their DNA.
2.uwezo wa kutunza siri kwa mda mrefu..
3.multitasking..uwezo wa kifanya kazi zaid ya moja kwa wakat mmoja..
4.good memory(more than 5+-2)
5.versatility..

Sasa akiwa trained kwa kazi hizo na kwa mlengo huo hiwa hawamis target..mafunzo yao yanachukua mda mrefu sana..na screening yao hufanywa na wataalam wabobezi..huwa wanakiwa trained kila eneo...hata kufanya ngono wanakiwa traines..si kweli kwamba huwa wanaondolewa hisia..no...no..maana bila hizo ufanis wa kaz unakiwa mdogo...isipokuwa tangu mwanzo anapoanza kukutrap huwa kuna calculation anazofanya ni mda gan utoe siri..na mara nyingi siri nyingi huzipata punde tu mara baada ya mwanaume kupiga bao(ipo sababu)
Popote walipo wana silaha..na silaha zao nyingi ni vitu ambavyo huwez kuvidhania mfano..banio la nywele,lipstick,kioo kidogo,bangili,vidonge maalumu...na wamefundishwa mbinu na namna ya kutumia na kuondoka bila kuacha alama...
Kuna maua flan hiv huko iringa(mafinga) ..yapo sana..hayo hutumika hasa kwa ajili ya kuamshia ashki ya mwanaume..maua hayo yanasagwa na kuwa unga..kisha kwa ustadi mkubwa anakupaka mwanaume shingoni au puan na ukishavuta ile harufu(wala huwez jua)bas ashki zitapanda na utataman kufanya mapanz na hapo yy atatumia taaluma yake kukufanya useme kile ambacho hukupaswa kukisema....
Na huwa hawana haraka..unawwza kaa nae ktk mahusiano hata mda mrefu ili akujengee iman...
Jambo la msingi la kujua ni kwamba ujasusi unahitahi mtu sahihi na sio mtu mwerevu..(right person and not the best one)..wanawake ni wazur sana katika hili..wanaume wana flaws nyingi sana..hata wanawake wapo wwnye flaws lakin si kama wanawake..
Mpaka leo wapo ..na wataendelea kuwepo sana..mipango mingi na siri nyingi huvuja kupitia watu hawa...
Nimevutiwa na huyo lilith..nimekutana na simuliz hizo na nimeona vitabu huku niliko na watu wanaamini kuwa ndivyo ilivyo..(japo ni jamii ndogo)..
Otherwise..women are by far ahead of men in that field..
Dah aisee wewe mzee unajua mambo mengi sana ya kutisha,kushangaza,kufurahisha na kufundisha,naomba tufahamiane tafadhari. ha ha haa.
 
Back
Top Bottom