Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa Nicked weapon...Bonge la movie.. Ujasusi unaofanywa na yule dada ni wa hali ya juu ..

#Muungwana_John
 
Yule dada sijui ameishiwa wapi.. hollywood hawapo shavu siku hizi maana ni moja kati waigizaji wakike ambao wanamudu vizuri action movies ukiacha Angelina Jolie..

#Muungwana_John
Naam baada ya salt kutikisa ile nikita nayo ilikuja kukonga mioyo ya watu tunaopenda maudhui ya tamthilia zenye ujasusi ". ..

Hata sijui yuko wapi " labda umaarufu ulimfanya ashindwe ku-maintain ... mara ya mwisho nilimuona kwenye ile project ya kuwalinda tembo ambayo alikiba na lupita nyong'o nao walikuwa ni mabalozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio haihitaji PhD maana hata mzee wangu tu naogopa kumpa ramani zangu. Maana kila ukimdokezea tu siku 3 nyingi mkewe lazima aniambie ishu flani inaendaje wakati sikutaka hata ajue!
ahahahaha we acha bana na haya maeneo!
Bi mkubwa anaharibu sasa nae!
AHAHAHAHHAHAHAHA nimechekaaaa kama namuona mshua anavyojimaliza!
 
Hawa sio miungu mkuu. Unaweza wagundua only if you pay attention to details.
Kuna kitabu kimoja aliandika FBI agent. How to spot a spy.
Nitakiweka hapa. Kina mbinu zote.
Mwanamke ambae ni spy ana one weakness nayo "interest" .. hapa pia unaweza wakamata madem wadangaji waongo matapeli hata wapretend kivip.

Pay attention to their interest.. utafaham vitu vingi sana. Binafsi hiko kitab kimenisaidia kuweza kuwagundua wanawake wa aina hii hata kabla jhawajamake first move toward me. And let me tell you it is very possible.

Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kama unakiweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. View attachment 1000790View attachment 1000791

Jr[emoji769]
Kwenye kitabu hicho husika wanawake walikuwa wanauliwa hisia zao za upendo kwa njia ya ajabu mno
Kwanza wanawekwa kwenye jumba la kifahari mno na kupewa huduma zote muhimu kasoro ngono, na hawawezi hata kusagana kwakuwa kila mtu anakuwa kwenye chumba chake pekeyake
Halafu kila wiki wanawekwa kwenye swimming pool nzuri mno wakiwa uchi kabisa halafu wanaletewa wanaume mahanithi waliohasiwa
Kwahiyo pamoja na hamu zao zote lakini hakuna wa kuwatimizia... Hii hali inaendelea hivyo mpaka wanawaona wanaume ni kama wao tu...
Training za kuwaua kihisia ni nyingi na wanapothibitishwa kuiva huanza Sasa kufundishwa ujasusi... Na watafanya kile watakachoelekezwa tu

Mkuu? Hakuna ka soft copy ukatupie hapa?
 
Kuna movie 1 hivi nimeisahau jina ... ameigiza yule manzi WA kwenye nikita ... inahusu masuala ya ujasusi .... Jamaa wana kamata mabinti wa dogo kisha wana wapeleka kwenye campus yao " porini huko ... kisha wanaanza kuwapatia mbinu mbali mbali za kijasusi ... mabinti wale walipofika stage ya kuvunja ungo " waliletewa wanaume wakawabaka vibaya sana _ baada ya pale wale mabinti wakawa nachuki kubwa Sana dhidi ya wanaume "-- wakaendelea kupatiwa mafunzo makali " baada ya kuiva " wakaanza kupewa tenda mbali mbali za kijasusi .... ni hatari aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa NAKED WEAPON
 
Hawa sio miungu mkuu. Unaweza wagundua only if you pay attention to details.
Kuna kitabu kimoja aliandika FBI agent. How to spot a spy.
Nitakiweka hapa. Kina mbinu zote.
Mwanamke ambae ni spy ana one weakness nayo "interest" .. hapa pia unaweza wakamata madem wadangaji waongo matapeli hata wapretend kivip.

Pay attention to their interest.. utafaham vitu vingi sana. Binafsi hiko kitab kimenisaidia kuweza kuwagundua wanawake wa aina hii hata kabla jhawajamake first move toward me. And let me tell you it is very possible.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupia hicho kitabu hapa...tupate mbinu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom