machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 905
- 2,012
Gentleman,Wakuu habarini za uzima.
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.
Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
Mbona umaarufu wake umeongezeka toka Oct/29 hukuona January alipewa tuzo
Kama huamini nenda google andika
The "tyranty president of the year 2025" Rais katili zaidi
wa mwaka 2025 usipopata Jina lake mje hapa na mikwaju
Mkuu lakini mtaani hasikiki sana Kuna ile hata kama mtu huna smartphone lkn habari za raisi lzm utasikia tu lakini ni kama saiv yupo kimya sanaMbona umaarufu wake umeongezeka toka Oct/29 hukuona January alipewa tuzo
Kama huamini nenda google andika
The "tyranty president of the year 2025" Rais katili zaidi
wa mwaka 2025 usipopata Jina lake mje hapa na mikwaju
HakikaHana hamu mama wa watu!
Mkuu inamaana mwanzo alikuwa anagawa pesaHagawi hela hovyo tena buyu kama limekauka flani hv.
Mkuu umaarufu ni muhimu sana kwa position aliyo kuwa nayo yeye. Kuna ile hata kama huna smartphone ila habari za raisi lazima uzisikieGentleman,
umaarufu sio kitu cha maana au muhimu sana kwenye masuala ya kuongoza nchi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu kijamii, kisiasa na kiuchumi.
watafuata umaarufu nadhani nadhani wanafahamika vizuri kwa kila mtu hususani Tanzanai, right?
ni watu wa porojo, uzushi na drama za kutafuta tension, kiki na public sympathy nonsense,
but serikali sikivu ya ccm chini ya kiongozi wake madhubuti sana DR.SAMIA SULUHU HASSAN inawajibika kufanyia kazi waTanzania na sio kutafuta umaarufu
nadhani watafuta kiki, tensioni, public sympathy na umaarufu wanafahamika sana humu nchini gentleman,Mkuu umaarufu ni muhimu sana kwa position aliyo kuwa nayo yeye. Kuna ile hata kama huna smartphone ila habari za raisi lazima uzisikie
Madelu anavimba tuMkuu lakini mtaani hasikiki sana Kuna ile hata kama mtu huna smartphone lkn habari za raisi lzm utasikia tu lakini ni kama saiv yupo kimya sana
Alikuwa anatembelea nyota ya JPM tu huyo.Wakuu habarini za uzima.
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.
Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
Wakuu habarini za uzima.
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.
Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?