Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

Gentleman,
umaarufu sio kitu cha maana au muhimu sana kwenye masuala ya kuongoza nchi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu kijamii, kisiasa na kiuchumi.

watafuata umaarufu nadhani nadhani wanafahamika vizuri kwa kila mtu hususani Tanzanai, right?

ni watu wa porojo, uzushi na drama za kutafuta tension, kiki na public sympathy nonsense,
but serikali sikivu ya ccm chini ya kiongozi wake madhubuti sana DR.SAMIA SULUHU HASSAN inawajibika kufanyia kazi waTanzania na sio kutafuta umaarufu :KKonaW:
Kwani kuna serikali iliyo chini ya rais gani hapa Tanzania ambayo haikusemwa kuwa ni sikivu na inawajibika kufanyia kazi watanzania? Yaliwekwa mabango nchi nzima yakimsifia Samia kwa sifa mbalimbali halafu wewe leo unakuja kusema sio kitu muhimu, haya tuambie yale mabango nchi nzima aliweka ya nini au yalisaidia vp wananchi katika maendeleo?
 
naona taratibu unahamisha magoli gentleman,

jukumu kuu na la kipaumbele sana la serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu waTanzania wote na sio kusaka umaarufu.

hizo porojo nyingine nadhani zinaweza kupoteza muda wangu bure tu gentleman :NoGodNo:
 
Sasa mimi nikusikilize wewe wakati unachoeleza ni tofauti na uhalisia, nchi nzima ilijazwa mabango yenye kumsifia Samia halafu wewe unakuja kusema sifa sio kipaumbele kwa serikali ya ccm!

Ukiacha hayo mabango ya kumsifia kwa sifa mbalimbali, uchaguzi wa 2025 ccm walijaza mabango ya mgombea wao Samia nchi nzima ilikuwa kama uchafu haijawahi kutokea mabango hadi kwenye mitaro ya maji machafu.
 
andikia uzi mahususi basi gentleman badala ya kujaribu kuhamisha mjadala mahususi mezani kwa kumbwelambwela vitu useless,

sina haja ya kusikilizwa, muhimu zaidi ni kueleweka :NoGodNo:
 
Wewe ndio unahamisha mjadala kwa sababu mada inahusu kupungua kwa umaarufu wa Samia ila wewe unakuja kusema umaarufu sio muhimu na kuanza kutuelezea majukumu ya serikali wakati mada inahusu umaarufu na sio hayo majukumu ya rais wala serikali.

Mlijaza mabango yenye kumsifia Samia nchi nzima lengo lilikuwa nini kama sio kutaka kusifiwa? Sasa ukiambiwa umaarufu wake umepunguwa unakuja kusema sio muhimu, mgejua hilo kama umaarufu sio muhimu si hizo pesa za kugharamia yale mabango mngezipeleka kusaidia wananchi maana ndio mambo muhimu.
 
hebu tafuteni kazi za kufanya gentlemen, acheni kusumbua wachapakazi hodari waliko kazini kwa porojo useless kabisa 🐒
 
Mkuu labda wewe ndio utafute kazi maana kushinda muda wote JF kuiunga mkono serikali kwa KILA jambo sio kazi, ungekuwa na kazi ya kufanya usingepata muda wa kufanya hicho unachokifanya.
unashinda kutwa kuchwa jukwaani kunifutilia na huna hoja zaidi ya mihemko useless tupu? Kweli?

hiyo ni completely nonsense 🤣
 
Mzee kikwete alikopy style ya mkapa kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi, hii ilijenga kumjua Rais hata kama ana maruweruwe yake still anakuwa president of the people

Tlaatlaah gentleman unaonaje mh akifuata nyayo za watangulizi wake..?
 
nadhani si muhimu na wala haina maana hata kidogo,

ni vizuri kila zama kua na kitabu chake, na falsafa yake, bila ufanano wa chochote ispokua kuzingatia katiba na kufikia malengo mahususi aliyojiwekea kiongozi husika 🐒
 
unashinda kutwa kuchwa jukwaani kunifutilia na huna hoja zaidi ya mihemko useless tupu? Kweli?

hiyo ni completely nonsense 🤣
Hakuna hata haja ya kukufuatilia bali wewe na wenzako mmejenga umaarufu wa kijinga sana humu JF, kama ni kweli ndio mnalipwa buku 7 basi mnapaswa kuomba muongezewe hicho kiasi.
 
mim sihitaji wala sina haya ya umaarufu wa aina yoyote popote pale, bali ile ya maana zaidi kwangu ni kuchapa kazi na kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu,

hiyo maswala mengine kwangu ni useless na completely nonsense 🐒
 
Mbona umaarufu wake umeongezeka toka Oct/29 hukuona January alipewa tuzo

Kama huamini nenda google andika

The "tyranty president of the year 2025" Rais katili zaidi
wa mwaka 2025 usipopata Jina lake mje hapa na mikwaju
Amewabana mabeberu kunako na ni lazima watampachika jina baya tu,mabeberu wamekosa akili sana badala ya kuja kui question serekali wao,wanakuwa informed na puppets na maadui wa taifa,pamoja na habari za AI,za mitandaoni/ tunamtaka #Ted cruz aje hapa haraka sana tumpeleke serengeti akaone RAHA ya Tanzania na uzuri wake,na inner govt truly infos,out of fake and propagated INFOS
 
Back
Top Bottom