Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

Wakuu habarini za uzima.

Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.

Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
Anapaswa kujiuzulu mara moja!
 
Gentleman,
mim sihitaji wala sina haya ya umaarufu wa aina yoyote popote pale, bali ile ya maana zaidi kwangu ni kuchapa kazi na kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu,

hiyo maswala mengine kwangu ni useless na completely nonsense 🐒
Unachokifanya ndio useless, na ungekuwa na kazi ya msingi ya kufanya usingekuwa na huo muda wa kujipa kazi ya kusifia na kutetea serikali humu JF maana hakuna faida yeyote zaidi ya uchawi tu.
Kama unadai Samia anapiga kazi na haitaji umaarufu basi acha tuone vitendo vikiongea kulikuwa hakuna haja wa watu kama nyie kuja kuelezea.
 
Mbona umaarufu wake umeongezeka toka Oct/29 hukuona January alipewa tuzo

Kama huamini nenda google andika

The "tyranty president of the year 2025" Rais katili zaidi
wa mwaka 2025 usipopata Jina lake mje hapa na mikwaju
😀. Nimecheka kama mazuri. Waingereza bana eti Tryant
 
Unachokifanya ndio useless, na ungekuwa na kazi ya msingi ya kufanya usingekuwa na huo muda wa kujipa kazi ya kusifia na kutetea serikali humu JF maana hakuna faida yeyote zaidi ya uchawi tu.
Kama unadai Samia anapiga kazi na haitaji umaarufu basi acha tuone vitendo vikiongea kulikuwa hakuna haja wa watu kama nyie kuja kuelezea.
mimi niko kazini kila saa na kila wakati gentleman,

baada ya kupata nafasi ya mapumziko kidogo dhidi ya kazi nzito na muhimu sana za wananchi, hivi sasa niko shambani nang'oa karanga, na majembe yangu hapa watu wa kazi, kabla ya kuanza kuvuna alizeti na mahindi next week, ekari zangu mi4, sijui itakuaje aise.

Gentleman,
mimi ni mtu kazi kazi kwenda mbele ingawa muda ni machache mno.
Sibabaiki wala sihangaiki na porojo nonsense jukwaani, bali kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu. Full stop 🐒
 
Acha huo ukweli uongee wenyewe au huo ukweli unakutegemea wewe kuongelea?
 
in fact,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ni Neema na Baraka za Mungu pekee.

Sio wote mnaweza kupata baraka hii gent, na ndio maana mnajikuta mnang'ang'ana na kubabaika sana na porojo 🐒
 
"Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza”

kila la heri kwenye huko kuelezea huo unaoita ukweli wa upande uliyouchagua.
 
Wakuu habarini za uzima.

Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.

Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
Ni kwa sababu hakustahili umaarufu tangu mwanzo.

Ila, kama alivyosema mwenyewe, Watanzania ni warahimu mno.

Na huo urahimu wenyewe unatoweka.
 
Wakuu habarini za uzima.

Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.

Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
KARIBU ANAKABIDHI COUNT DOWN 2 YRS
 
"Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza”

kila la heri kwenye huko kuelezea huo unaoita ukweli wa upande uliyouchagua.
Gentleman,
hivi hayo hua ni maneno ya kwenye kanga na vitenge tu,
au huwa ni msemo wa wahenga?

karibu sana na na kutakia kila lililo jema katika huo upande ulojagua.
Nifikishie salamu zangu za amani kwa wote huko mtaani kwako 🐒
 
Salamu za amani ipi? Mbona huo wimbo ulishapitwa na wakati Tanzania, hakuna tena Tanzania ya amani.
 
Back
Top Bottom