Imekula kwako Boflo... waonyeshe wallet uone.. ahahahaaaa.. !!
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
cc felinda nameless girl
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
cc felinda nameless girl
Anafikiri labda wadada wa siku hizi ni waumini wa maneno.
Eti anapeleka uhendsam kwa watoto wa siku hizi..!? watampa vifungu vya baibo mpaka aseme hiki nini..!!??
kwani wote wenye majina ya kike na Avator za kike Humu JF ni wanawake, wengine ni wanaume nadhani na wewe ndio uliowatokea
Hawanitaki kivipi??tatizo ni kwamba wale ambao unawahitaji wenyewe hawakutaki ndio maana wanasingizia wameokoka. Penda unapopendwa.
Hawanitaki kivipi??
wao ndio wanani pm kwa sana, namba za simu wana nipa wao,
na mimi sicheleweshi, ndipo najibiwa ameokoka...kweli haya majanga