Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Eee! Na uchawi unahusika tena,kuna wachawi sana ee?,na vipi kuhusu mabweni,na ni mchanganyko au boyz tupu?
 
Ilongire ipo singida taarifa yoyote kuhusu hii shule kuna dogo kapangiwa huko
 
Wadau naomba kujuzwa kuhusu lufilya high school najua ipo mbeya lakn sijajua kama ni ya bweni au hostel na utaratibu wake kadharika.
 
jamani nimechaguliwa skul ambayo cjawahi kuisikia maishani mwangu...kwa anayeijua anijuze details zake shule inaitwa tandahimba iko mtwara
 
Jamani wadau yeyote aliopo Singida na anayepafahamu Mwenge secondary ani PM au anitafute kupitia 0655342944.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Wadau naomba kujuzwa kuhusu lufilya high school najua ipo mbeya lakn sijajua kama ni ya bweni au hostel na utaratibu wake kadharika.


Lifilyo au Lufilya? kama ni Lufilyo ni ya bweni kwa A level wote. O level kuna bweni na day.
 
wako wapi mkuu, kuna mtoto wa kaka yangu kachaguliwa huko!
 
Lifilyo au Lufilya? kama ni Lufilyo ni ya bweni kwa A level wote. O level kuna bweni na day.



Asant, Ni lufilyo locatn ipo mbeya araf sijajua ni mixture au single sex mana matokeo yanaonesha single sex ila nmeona na girls wamechaguliwa hapo
 
Asant, Ni lufilyo locatn ipo mbeya araf sijajua ni mixture au single sex mana matokeo yanaonesha single sex ila nmeona na girls wamechaguliwa hapo



Ni mixture kwa O level, na A level ilikuwa boys ila msimu huu tumeomba wasichana ndiyo maana unaona matokeo ya mwaka jana hayaoneshi wasichana.
 
mkifika mtulie msome mambo ya kuzurura ng'ambo, kazima, uhazili, bachu, isevya, ipuli muache. mimi nilisoma zamani huko btw nawapongeza kwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano.
 
kumbe kuna wanafunzi wa secondary humu!?
ndio maana utoto mwingi kama bungeni
 
Back
Top Bottom