Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Nnachojua hiyo shule ipo huku Kyela, karibu na ziwa Nyasa, ila detail zaidi czifaham.
 
Ipo mkoa wa ruvuma wilaya ya tunduru inasfka kufaurisha kombi za art hla mwaka hu wameanzisha pcb na cbg ambao ndo pamoja nawewe ...Ipo form one hd six ila o level ndo mixer kwenda huko naul kama 10000 hv toka songea mjini bro..Karbu mkoa we2 wa ruvuma.

hapana kuna advance tu pale o'level hakuna tena siku hz, shule ipo tunduru mjin ambapo ni wilayan kt mkoa wa ruvuma,jiandae na taa au means yoyt ya kusomea kwa kuwa umeme huwa unasumbua sana, suala la walimu ni tatzo. kaka unakuja kwa wayao ndo kabila kuu tunduru jiandae maana ukicheza tutakupoteza i mean wapo fit sana kt ngono, mwamko wa kielm kt wilaya hii ni mdog sana.. kuna ng'ombe wa shule hapa so utajifunza kuchunga ng'ombe.. mtakuwa karb na kiuma high schl amby ni private na ina full equiped laboratory nahc kwa pract. mtakuw mnaenda huko, karb tunduru. mi ndo nakotokea,kwa sas naish dar ila km utataka upate mwenyej amby atakuw km ndugu yako ukiwa tunduru nipm., sis ni wakarim sana kwa mara nyngn nakukarbsha tundr
 
Kama umechaguliwa hapa mshukuru Mungu maana una asilimia 90 za kuingia chuo, shule ina msosi mzuri, umeme uliokamilika, maji safi kabisa ya kunywa na kufulia, maktaba nzuri yenye internet na viwango vya kuridhisha, maabara zenye vifaa vya kutosha na wataalamu (lab.techn), vile vile ina walimu wenye sifa.

Kwa wanafunzi wa a'level mtakuwa mnakaa 'sinior room', vyumba vyenye meza pamoja na viti vya kupigia msuli, lugha(misamiati) maarufu kibaha ni mpongoo,kuku n.k utaenda kuulizia maana yake.

Msuli mazingira yanaruhusu bt kuna ukumbi pale wa harusi na shughuli mbalmbal so siku za j'mos mara nyingi kunakuw na sherehe ni full kelele lakini haichoshi sana.

Wanafunzi huwa wanaazma suti wanakwenda kuzamia kwenye sherehe ili kubadilisha diet lakini ukikamatwa mi simo., kuna sehem inaitwa mwanalugali kawe makini na huko maana VVU kama kawaida.

Shule ipo ndani ya shirika la elimu kibaha so kuna shule zingine ndani yake kama tumbi sec, kibaha girls, chuo cha ufund, shule ya msing, chuo cha maafisa tabibu cotc n.k.

Karibuni sana kiumeni
 
Wadau naomba mnijulishe kuhusu hii shule inayoitwa "Myovozi high school"
plz wadau
kuhusu location na details nyengine

MATEMA ipo kwenye mji mdogo wa kyela na pia ipo karibu na ufukwe wa ziwa nyasa na kiujumla shule iko powa sana 7bu perfomance yake iko juu sana
 
hapana kuna advance tu pale o'level hakuna tena siku hz, shule ipo tunduru mjin ambapo ni wilayan kt mkoa wa ruvuma,jiandae na taa au means yoyt ya kusomea kwa kuwa umeme huwa unasumbua sana, suala la walimu ni tatzo. kaka unakuja kwa wayao ndo kabila kuu tunduru jiandae maana ukicheza tutakupoteza i mean wapo fit sana kt ngono, mwamko wa kielm kt wilaya hii ni mdog sana.. kuna ng'ombe wa shule hapa so utajifunza kuchunga ng'ombe.. mtakuwa karb na kiuma high schl amby ni private na ina full equiped laboratory nahc kwa pract. mtakuw mnaenda huko, karb tunduru. mi ndo nakotokea,kwa sas naish dar ila km utataka upate mwenyej amby atakuw km ndugu yako ukiwa tunduru nipm., sis ni wakarim sana kwa mara nyngn nakukarbsha tundr

Mkuu umesahau swala la uchawi !
 
Wakuu naombeni kwawale wanayoijua hii shule vizuri wanieleze kiufupi mwenendo wake kitaaluma na mazingira ilipo panaridhisha? huduma za kijamii kama vile maji na umeme vpo?

please wakuu
 
Jaman tupongezane na tujuane wale wa usagara kidato cha tano 2014/2015
 
Sasa kuna O-level imerudishwa tena. japo ilifutwa. Ila ni shule nzuri yenye kila kitu. Na walimu ni wengi sana sasa.
 
Ipo mkoa wa ruvuma wilaya ya tunduru inasfka kufaurisha kombi za art hla mwaka hu wameanzisha pcb na cbg ambao ndo pamoja nawewe ...Ipo form one hd six ila o level ndo mixer kwenda huko naul kama 10000 hv toka songea mjini bro..Karbu mkoa we2 wa ruvuma.

Asante Sana mkuu umenifumbua macho kwa sehemu juu ya hyo shule ,na vipi maswala ya maji ni ya kutosha au?
 
hapana kuna advance tu pale o'level hakuna tena siku hz, shule ipo tunduru mjin ambapo ni wilayan kt mkoa wa ruvuma,jiandae na taa au means yoyt ya kusomea kwa kuwa umeme huwa unasumbua sana, suala la walimu ni tatzo. kaka unakuja kwa wayao ndo kabila kuu tunduru jiandae maana ukicheza tutakupoteza i mean wapo fit sana kt ngono, mwamko wa kielm kt wilaya hii ni mdog sana.. kuna ng'ombe wa shule hapa so utajifunza kuchunga ng'ombe.. mtakuwa karb na kiuma high schl amby ni private na ina full equiped laboratory nahc kwa pract. mtakuw mnaenda huko, karb tunduru. mi ndo nakotokea,kwa sas naish dar ila km utataka upate mwenyej amby atakuw km ndugu yako ukiwa tunduru nipm., sis ni wakarim sana kwa mara nyngn nakukarbsha tundr

Shukrani kwako mkuu,hivi hyo shule ni ya mkoloni au?
 
Back
Top Bottom