Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Jamani mbona hamtaki kutusadia kuhusu hii shule inayoitwa "Myovozi high school"
plz
 
Kwa anayeijua naomba anijuze tafadhali. Mazingira, ina hostel ni mixture au pia kitaaluma.
 
Mimi nimepangiwa shule ya kisimiri,naomba kwa wanaoijua vipi kuhusu mazingira ya elimu,na je kuna shida ya maji na msosi?
 
Ndo nyumban singida,xcul iko poah sana vjana wanapasua knouma nouma yaneeh.Iko town cngda
 
Jamani samahanini kwa usumbufu,nimepangiwa shule ya MBEKENYELA IPO MKOANI LINDI,VIP MAZINGIRA YAKE KI TAALUMA???Na mambo mengine??

asanteni.
 
MSAADA KWA ANAEIJUA VIZURI SHULE YA SEKONDARY MBEKENYERA ILIYOPO MKOANI LINDI.KWENYE MAMBO YA FUATAYO
1=taaluma.
2=maji na chakula.
3=mandhari ya shule kiujumla
4=idadi ya michepuo
5=shule ni ya kutwa au bweni?
6=ni single au mixer?n.k.

asanteni.
 
Wadau naomba msaada wenu kuhusu hiyo shule ya kisimiri.
 
ni jambo la busara kufahamiana kwa tuliochaguliwa kibaha boyz na pia kwa wale wanaosoma au waliowahi kusoma pale watupe expirience ya hapo.
 
Jamani mimi nimepangiwa umbwe(mti safi) sasa naomba nisaidiwe kwa mwenye contacts za hukn xcul....anisaidie
 
Jamani mimi nimepangiwa umbwe(mti safi) sasa naomba nisaidiwe kwa mwenye contacts za huko xcul....anisaidie
 
Jamani wadau yeyote aliopo Singida na anayepafahamu Mwenge secondary ani PM au anitafute kupitia 0655342944.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums

Karibu sana mwenge ninasoma hapo xul ni nzuri iko town kabisa. pia uunabahati kuchaguliwa hapo coz nw kuna headmaster mpya kabadili xul xo mkimtumia vizuri utatoka visit mwengesec.blogspot.com
 
Back
Top Bottom