Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Shule nzuri ,?,?? mbona nasikia huo mchanganyiko mnapigana mimba sana??
Mfano mzuri mwaka juzi kuna mabinti walifukuzwa shule kutokana na mimba??
Je nidhamu ikoje? taaluma imekaaje? huo mchanganyiko usiku mnasomaje mnajichanganya au mnatenganishwa?
 
Yoyote anayejua kuhusu shule ya mwakavuta sec school...ipo iringa
 
Combination..gani..?
Pugu shule nzuri kwa juhudi .... Zako binafsi... Utafaulu tu...
 
kwa aliyesoma au anaesoma shule hii ya private namuomba anitarifu kama form za kujiunga zimeisha au laaa,pia namuomba anitumie contact namba za shuleni
 
Kwa wale wadogo zangu mliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano lukole nawakaribisha sana.ni shule nzuri na yenye taaluma ya kuvutia...karibu sana wadogo zangu wala msiogope kabisaaaaa.,..for more details call me +255762546166

George weka detail zote muhimu,picha ya shule,matokeo ya mwaka uliopita,walimu wanatosheleza?mazingira ya shule yapoje?Naamini wewe ni kijana msomi,hivyo tuelezee
 
unaizungumzia amani abeid karume ya dodoma? Nasoma hapo,, ni shule ya kawaida. Sio mbaya
 
jamani karibuni kagera kama umepangwa hapo nijulishe
 
acha upuuzi wewe mbona humuongelei MUNGATE ni m'bovu!!!

kwa waliochaguliwa ndanda wasiwe na wasiwasi shule ni nzuri Maji na umeme vipo mud a wote chakula kizuri walimu wapo masuala ya afya kuna hospital karibu.Karibuni sana
 
Hebu naomba uniambie mkubwa tayar wameshatoa post za kwenda adv?,kuna shem wangu nataka nimchekie kapangwa wapi,mkuu
 
Watu wa ngara niwakalimu na wakati anamaliza form six atakuwa ameongeza lugha inayo tumiwa na karb nch 5 za East and southern Africa.

Lugha gani hiyo mzee?
 
Guyz wa Lyamungo, tuliopangwa uko, naomba tuanze kufahamiana au kama kuna m2 ana details zozote kuhus hio shule naomba anifamishe, . .its tym to know new people
 
Kihangaza ambacho kinaingiliana na kinyarwanda,kirundi,kinyankore na hata kule DRC.Mwanao atafaidi sana
 
Wana Jf Nami Pia Napenda Mnijuze kwa anayeifahamu shule ya Tunduru,iko mkoa gani mazingira ya kujisomea yakoje na sifa nzuri hata mbaya za shule hiyo,kisha aniambie je shule hiyo kuna michepuo ya sayansi?
 
Hebu naomba uniambie mkubwa tayar wameshatoa post za kwenda adv?,kuna shem wangu nataka nimchekie kapangwa wapi,mkuu

we nawe. hapa nahitaji waliopagwa kishoju tu au mchango km unao kuhusu shule-
 
Wana jamvi ,jamani naombeni msaada anayeifahamu hii shule ya tunduru,anipe sifa zake na mapungufu yake,na anijuze iko mkoa gani,pia anishauri nisome hyo shule,maana nimepangiwa nikasome CBG ,msaada tafadhali.
 
Wana Jf Nami Pia Napenda Mnijuze kwa anayeifahamu shule ya Tunduru,iko mkoa gani mazingira ya kujisomea yakoje na sifa nzuri hata mbaya za shule hiyo,kisha aniambie je shule hiyo kuna michepuo ya sayansi?

Ruvuma. mazingira ya kujisomea yanaridhisha
 
Jamani nataka nijue shule aliyopangiwa mdogo wangu......jina Salum Fadhil kassim-shule aliyosoma Makurumla secondary school..msaada tafdhali
 
Ipo mkoa wa ruvuma wilaya ya tunduru inasfka kufaurisha kombi za art hla mwaka hu wameanzisha pcb na cbg ambao ndo pamoja nawewe ...Ipo form one hd six ila o level ndo mixer kwenda huko naul kama 10000 hv toka songea mjini bro..Karbu mkoa we2 wa ruvuma.
 
Back
Top Bottom