Zero Brain
Member
- Apr 20, 2013
- 39
- 3
Comb gan umetpw c ndo tpo pale
Wadau naomba msaada wenu kuhusu hiyo shule ya kisimiri.
(deleted by snipa) nchek ka vp
Duh!.wajamen naomba mnijuze Nimechaguliwa shule ya Mpwapwa ,naomba mwenye kuifahamu anijuze mambo ya uko na mazingira yake pia
Dah hat a mimi nahusika usagaraKwanza kabisa hongera kwa kuchagulia kujiunga Usagara, mimi nilihitimu form six pale mwaka 2013, ni miongoni mwa shule ambayo wanafunzi wana uhuru, iko town, hakuna shida ya maji wala umeme, migogoro ya dini kwa sana ingawaje inakuwa chini chini, ila nadhani hili tatizo la udini linashughulikiwa, karibu kwa maswali zaidi
Kwa wale wadogo zangu mliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano lukole nawakaribisha sana.ni shule nzuri na yenye taaluma ya kuvutia...karibu sana wadogo zangu wala msiogope kabisaaaaa.,..for more details call me +255762546166
nimechaguliwa shule ila sijaipenda ss kuna kipemba anasema bora uende songea boyz alafu hajui wanachukua combination zpi nisaidieni jamani