Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

jamani me naombeni tu maelezo ya ifunda girls,vitu gani muhimu kutambua kuhusu hiyo shule



iko nje ya mji wa iringa, nimewah fika mara moja. Iko opposite na ifunda tech yaani mnapakan fensi tu. Co pabaya muonekano wake mzuri iko juu hiv kwa kutoka usawa wa bahar. Mandhar mazuri miti ming na baridi ndo kwao kule. So you should prepare yo blankent so that u can tackle the situation/weather condition. Maisha popote relax alafu kuwa na utayar wa maisha popote basi hutapata shida.
Mwisho hongera sana.
 
Samahanini wakuu mimi nimepangiwa pugu sasa nauliza iyo shule ikoje kwa mazingira ya ufaulu na huduma za kibinadamu?

Asanteni kwa mtakaonisaidia.
 
Naomba msaada wadau kama kuna mtu ana namba ya mwalimu yeyote aliyepo Lufilyo Sec School Rungwe.
 
Wanajamvi wenzangu,

Naomba kujulishwa uwezo na mafanikio ya sekondari ya LUKOLE,iliyopo Ngara mkoani Kagera,mwanangu amechaguliwa kujiunga na form five.

Nawasilisha
 
Wana jamvi wenzangu naomba kujulishwa uwezo na mafanikio ya sekondari ya LUKOLE,iliyopo Ngara mkoani Kagera,mwanangu amechaguliwa kujiunga na form five.nawakilisha

Peleka Jukwaa La Elimu,.

Naamini utapata majibu ya kuridhisha!!
 
Wanajamvi naombeni msaada WA kujua performance ya LUKOLE SECONDARY,Kwani kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano.nawakilisha
 
Mkuu elimu ya tanzania aina tofauti,zaid mwambie kijana wako akasome kwa bidii mazingira ya shule ni mazuri shule ipo maeneo ya k 9 k.m kama 15 apka20 kutoka ngara mjin.. walio serious huwa wanafauri vizuri wala usipate tabu..
 
Wewe unaposema nzuri unataka akafanyiwe mitihani,shule zote za serikali kauli nimoja"Muonyeshe njia mwanafunzi nasio kumtafunia"
 
Wakuu nilichokuwa namaanisha Ni mazingira ya while yako vipi,uwepo wa walimu wa kutosha,maji,umeme.
 
Wanafunzi mpo wachache jf.
Wengi tu wazee na wake zetu.
Pole kwa kukosa post
 
Watu wa ngara niwakalimu na wakati anamaliza form six atakuwa ameongeza lugha inayo tumiwa na karb nch 5 za East and southern Africa.
 
mwambie akazane tu,shule za TZ karibu zote ni hali moja,mkazanie bidii pia awe na materials
 
Umeme upo lakn si wa grid ya taifa kwa hyo aje tu Ngara na umpe hera ili outing awe anaenda kwa Kageme make ni jiran zetu
 
Back
Top Bottom