Mzee baba mbona pozi lake na marais wengine haliendani.
Kajikaza saana.
Shikamoo.Tuliozaliwa wakati nchi inaongozwa na Waziri Mkuu Rashid Mfaume Kawawa na Nyerere akiwa Butiama akijenga chama tunakoment wapi?
Mhhh we nomaMwisho kabisa wa awamu ya kwanza na mwanzo kabisa wa awamu ya pili.
Mhhh we noma
Thubutuuuu unaanzaje kuwa mm ww unazaliwa tunakuona na ulikuwa unadeka ukiambiwa kusalimia unalia kama nn[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mwanangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuuu tutaonana tuThubutuuuu unaanzaje kuwa mm ww unazaliwa tunakuona na ulikuwa unadeka ukiambiwa kusalimia unalia kama nn[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto mbichi sana wewe, unafaa kwa matumizi muhimuMm kipindi cha Mkapa ana mwaka mmoja madalakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuuu tutaonana tu
Shikamoo dada.Ninafanya mti Hanoi wa form four