The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,612
- 5,388
Ya 3 mwisho mwisho
Kabla ya Uhuru tuna comment wapi?
Twende zetu pm.Mm kipindi cha Mkapa ana mwaka mmoja madalakani
Wewe bado MtotoWakati wa kikwete
Awam ya Mchonga mwishoni kabisa kuelekea awamu ya Mzee Ruksa
Mahaba mjukuu...Shikamooo babu[emoji849]
Jiwe?Mzee baba mbona pozi lake na marais wengine haliendani.
Kajikaza saana.
Alipokuwa na "madalaka " eeh?Mm kipindi cha Mkapa ana mwaka mmoja madalakani
Binti bado mbichi kabisaMm kipindi cha Mkapa ana mwaka mmoja madalakani
Basi hapo hapo ndio nipoKabla ya uhuru hiyo ni Awamu "0"
[emoji3][emoji3]juu ya dari
Sizadhani kuja kutambua jamii forums
Hivi inawezekana kabisa humu kukawa na mtu aliyezaliwa awamu ya tano?