Ulizaliwa awamu ya ngapi?

Ulizaliwa awamu ya ngapi?

Wewe hapo, 1990 ni awamu ya tatu wewe
Duh!!...Yaani mimi nizaliwe awamu ya tatu na uzee wangu huu Khantwe!!

Kwa taarifa yako mimi nimezaliwa tarehe 15/01/1990

Siku ya jumatatu usiku kuamkia jumanne

Muhenga Mimi mkuu
 
Aah kumbe ni awamu ya pili sasa mbona uliandika ya kwanza
 
Mimi sikuzaliwa. Ila mama alijifungua kabla hatujatawaliwa na mwingereza

Nipe haki yangu niitike marahaba...

Afu wife Sky Eclat ni lini umeanza kunifanyia umbea na hako ka Khantwe ??

Nifanye maamuzi magumu?
Haki yako Hii hapa shkamo (in congolese voice)
Hahahhh una mkwala kumbe ... nitafanya maamuzi magumu.... hahaha tulia bana
Mzima lakini?
Mimi na like wale tulizaliwa awamu hiyo
Now I know who to follow....Thx Sky Eclat
 
Kabla sijaitikia shkamoo yako kwanza jieleze ulikuwa wapi siku zote hizi
Maelezo yanifikie kabla jua halijazama leo
 
Hahahhh nipo tele JF nyumbani yangu mwenzio sema sometimes huwa nachungulia nasepa au nakuwa kwenye majukwaa ya vituko umbea udaku huko kunako kuchangamsha akili au niseme nilikuwa najishughulisha na ba mwenye nyumba hahahhh mji mkubwa mambo mengi...
 
Afadhali, nikadhani umeolewa afu usiniambie...
 
Back
Top Bottom