Ulizaliwa awamu ya ngapi?

Ulizaliwa awamu ya ngapi?

Nitakutaarifu definitely pamoja na Sky Eclat mkuye
Hahahhh ndoa za uzeeni nazo matata
Ndio nzuri hizo, hazina michango wala magharama ya kijinga. Mkishakamata vyeti tunaenda zetu bar kupiga mvinyo... sio ukumbini kupiga vigelegele....
 
Back
Top Bottom