Uliza swali lisojibiwa popote pale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliza swali lisojibiwa popote pale

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Oct 20, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Natoa ofa kwa mtu yeyote yule kuniuliza swali lolote lile ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale nami nitamjibu kwa ufasaha uliotukuka. Offer kama hizi ni mara chache sana huwa nazitoa.

  Mfano wa swali ambalo unaweza kuuliza (ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale) ni;

  1. Kwa nini vidole vya binadamu havilingani urefu?

  2. Kwa nini kiganja cha mkono wa binadamu kina mistari?

  Angalizo;

  Usiulize swali nilolitoa hapo juu kama mfano
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kwa nn wewe umeanzisha mada kama hii wakati mimi nilishaianzisha na nikajibu maswali yote ambayo hayakuwahi kujibiwa?
   
 3. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  reference please! uliuliza lini, wapi, ikibidi post hapa hilo swali lako
   
 4. A

  Amos Kiumbe Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo wapi sasa hivi?
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Kwanini uume husimama dede
   
 6. N

  Nyigana Senior Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hili nalo neno
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Jibu atakalokupa ni kuwa Wewe upo duniani kwa sasa!
   
 8. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Kipi kilianza kati ya kuku na yai?
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  swali ni nini?
   
 10. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hilo lishajibiwa kwenye vitabu vya biology
   
 11. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hilo lishajibiwa kwenye kamusi ya kiswahili
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kwangu ni jipya mkuu nijibu tafadhari, nimeangalia kwenye dictionary sijaona jibu lake
   
 13. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  umekosea angalia kwenye KAMUSI.
   
 14. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuku ndiye alieanza kwani yani haliwezi kuweka kiini kama hakuna mbegu ya kiume ilolirutubisha. Kwa wale wenye imani ya kidini Mungu alianza kuumba viumbe ambavyo aliweka mfumo wa kuzaliana ndani yao. Kwa upande ka wanyama yai hurutubishwa likiwa ndani ya kiumbe jike ili hali kwa ndege (kama kuku) na aina za reptilia (mjusi, mamba, kenge n.k), amphibia n.k mayai hurutubishiwa nje baada ya kutangwa na viumbe jike.
   
 15. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  reference please! uliuliza lini, wapi, ikibidi post hapa hilo swali lako
   
 16. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  tel him
   
 17. S

  STABLE GIRL Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini niyapitie haya?
   
 18. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Ok Kitabu cha Salman Rushdie ''Aya za Shetani'' kina ukweli au uongo? kama ndio elezea na kama uongo elezea
   
 19. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huenda uta-mind ila ukweli ni kwamba baada ya hicho kitabu kutoka wanazuoni mbalimbali wamejibu na hata makongambano yameendeshwa kujibu kila kitu na ndipo uamuzi wa kumsaka na wengine kumuhifadhi ulipofikiwa
   
 20. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa sababu upo duniani ambapo unaishi na watu wenye utashi tofautitofauti na mifumo ilobuniwa na watu ama ilotokana na mazingira, hivyo it is existing condition which influence yo life
   
Loading...