George ngarasoni
Member
- Jun 6, 2012
- 40
- 9
Angalia tu kwani rangi nyekundu na nyeupe ndiyo the best, ndo mana nyekundu huwekwa kama zuria ya kukanyagiwa miguu na wakuu
na wale wanao lalia ktandani 2xeme wameidharau na wayoifanya kma sanda je.!
Angalia tu kwani rangi nyekundu na nyeupe ndiyo the best, ndo mana nyekundu huwekwa kama zuria ya kukanyagiwa miguu na wakuu
kwa nini mtu akinya lazima akojoe
na wale wanao lalia ktandani 2xeme wameidharau na wayoifanya kma sanda je.!
obama je? mbona anaitwa black?
ukipokea msg nyingi kwenye simu inbox inaandika full, or no space for new msg, ukifuta inbox zile old msg hazidondoki chini lakini unapata space, zinaenda wapi? na kwanini uko zinakoenda zisijae?
Very interesting. Sijawahi waza hili, lakini nadhani. But i guess ni kwa ajili ya adaptation to perfom inteded tasks. Mfano dole gumba la.mkononi lingekuwa refu kuliko.vidole vingine ungeshondwa kushika vitu haswa vodogo vidogo. Imagine kuokota harage ama sindano? Na dole gumba la.mguu ni kwa akili ya balance ya mguu. Lingekuwa fupi kama mkono labda aungeshindwa kufunga break,lol
Kwani wewe ndo umeleta hii post mbona unamjibia mwenye post?
Napenda tu kuufikirisha ubongo wangu. Sio mvivu wa kufikiri, ni kama i was thinking aloud.
Naweye kwani umeambiwa uulize maswali waliojibu maswali ama?
By the way, post ni hii ninayokuandikia, aliyoandika mtoa mada inaitwa thread. Umeelewa?
katika mfumo wa digitali kuna kitu tunaita binary file, ambao ukukwa wake unapimwa kwa bytes, wakati unapobonyeza delete, iko program ambayo inafanya bytes kuwa zero hivyo kinadharia tunasema msg imefutika, kuna mifumo mingine inasehemu ya kuhifadhia hizi msg zilizufutwa (recycle bin) ambako unaweza ku-restore msg yako ukipenda na nyingine ndo inazifuta moja kwa moja
Hapo kaka umechemsha! Mungu akuanza kuliumba yai!so Nani alilitamia? Good try!yai ndilo lilianza.!
Kamatunapishana kiiivyo kwa nini mwaka mpya tunasherekea usiku wa manane i mean saa 6 midnite?Hii ni kutokana na kutumia saa yenye mfumo ambao unaanzia saa sita kamili usiku (mid night) kwa mfumo wa masaa 24 au saa sita kamili mchana (noon) kwa mfumo wa saa 12, wakati mfumo wetu unaanza saa kumi na mbili asubuhi, na kufanya wakati kwetu ni lisaa limoja tangu kuanza kwa masaa 12 mapya, waingeleza wao ni masaa saba tangu (mid night or noon)
Hii ni kutokana jua, wale ambao asili yao wameishi zaidi kwenye jua, mabadiliko ya kiasili (hapa genetic adaptation) yamefanya wawe na rangi nyeusi
Soma pia kitabu cha wimbo ulio bora (sulemani anasema "msinichunguze chunguze kwa kuwa mimi ni mweusi, kwani jua limeniunguza")
kwa nini mtu akinya lazima akojoe