Uliza swali lisojibiwa popote pale

Uliza swali lisojibiwa popote pale

hiyo siyo rasmi, na kama umeona wasabato fulani fulani wamenyoa hivyo basi ni utashi wao tu kwani wasabato wanaamini zaidi kwenye agano la kale ambako kunyoa panki (denge) kumekatazwa (rejea sheria za Musa)
 
Kwa nini wasabato wana nyoa panki?

hiyo siyo rasmi, na kama umeona wasabato fulani fulani wamenyoa hivyo basi ni utashi wao tu kwani wasabato wanaamini zaidi kwenye agano la kale ambako kunyoa panki (denge) kumekatazwa (rejea sheria za Musa)
 
kwa nn m2 akifa nyewe na kucha huendelea kuota na kkuwa?
 
Kwanini mataahira wote wanafanana duniani, ukimuona wa china kafanana na wa mbagala, wa tandale kwa mtogole ni sawa na wa liverpool uk, au ni mapacha?
 
kwanini dole gumba la mguuni ni nene na refu kuliko vidole vingine?
 
Hiyo avatar yako ni ya taahira? Lol, natania.

Mataahira unaoona wanafanana ni wale wenye ugonnwa wa down syndrome nadhani. Watu hurukwa na akili kwa sababu tofauti, kuna wanaopata brain damage, hao wako tofauti. Hao wa down syndrome wanafanana kwa sababu utaahira wao no genetic maleup ama unaweza kuita technical problem. Same cause, same results.
Kwanini mataahira wote wanafanana duniani, ukimuona wa china kafanana na wa mbagala, wa tandale kwa mtogole ni sawa na wa liverpool uk, au ni mapacha?
 
Very interesting. Sijawahi waza hili, lakini nadhani. But i guess ni kwa ajili ya adaptation to perfom inteded tasks. Mfano dole gumba la.mkononi lingekuwa refu kuliko.vidole vingine ungeshondwa kushika vitu haswa vodogo vidogo. Imagine kuokota harage ama sindano? Na dole gumba la.mguu ni kwa akili ya balance ya mguu. Lingekuwa fupi kama mkono labda aungeshindwa kufunga break,lol
kwanini dole gumba la mguuni ni nene na refu kuliko vidole vingine?
 
kwa nn m2 akifa nyewe na kucha huendelea kuota na kkuwa?

Hiyo haina ukweli wowote kwani makaburi yalofukuliwa yamekutwa na mafuvu tu bila nywele wala kucha, ila kwa wale wanaoamini kwenye misukule (ndondocha) husema kuwa mtu akifa hugeuka kuwa ndondocha na hivyo kushindwa kunyoa kucha na nywele that y hukua
 
kwanini dole gumba la mguuni ni nene na refu kuliko vidole vingine?

kupishana kwa vidole ni moja ya mfano niloutoa hivyo hupaswi kuuliza swali juu ya sizes za vidole
 
Kwa nini saa ikionesha 7 tunasema saa moja?
 
je ukimwi ulitokana na nini?eti ni kweli ulitengenezwa?
 
Kwanini umeacha kujibu watu ?

Near by Artinzu education center Mbeya.
 
Back
Top Bottom