VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Kwanini nafasi karibu zote kwenye taasisi nyeti na makampuni zimeshikiliwa na watutsiUna chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Kama ilivyo kwa waTanzania, hilo ni jambo jepesi.Je mwanamke wa Rwanda anaweza kukubali kuolewa na mtanzania na kuja kuishi huku?
Makabrasha ni kina nani na ilikuaje wakawa hawaaminikiKama ilivyo kwa waTanzania, hilo ni jambo jepesi.
Kikubwa, familia yake ihakikishiwe usalama wake. Maana kutokana na mambo ya siku za nyuma, wengi(ambao siyo makabrasha), hawaamini kama Tanzania ni sehemu salama kwa mnyarwanda
Ntakujibu kwa ninavyoelewa mimi( si precision ya 100%):Kwanini nafasi karibu zote kwenye taasisi nyeti na makampuni zimeshikiliwa na watutsi
Ukikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.Ni kweli Rwanda kuna Soko zuri la mchele toka Tz?
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
ThanksUkikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.
Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
Unahitaji vibali gani kutoka Rwanda kuingiza mchele Rwanda.Ukikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.
Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
Watanzania mna raha sana, na mna bahati nyingi mnazochezea.Tueleze hali halisi ya maisha ya rwanda maana kuna sintofahamu nyingi. Wengi wanasema rwanda kuna maisha magumu sana je hii ni kweli?
wananunua sh ngap kwa mchele grade oneUkikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.
Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
Cha kwanza kabisa kuna certificate of import, inapatikana kwa fedha ya Rwanda laki mbili(200,000 Frws), ushuru, kilo moja mara ya mwisho ilikuwa 500 kwa kilo, hapo uhakika wa 100% unapata kwa watu wa forodha mpakani.Unahitaji vibali gani kutoka Rwanda kuingiza mchele Rwanda.
Ila kuna watu weupe...umefanya vema kuleta huu uzi mkuu. Cha kwanza naomba kujua. Mwaka 2 014 jwtz walilisambaratisha kundi la m23 linaloungwa mkono na rwanda, nini kilikuwa ni chanzo na sababu ya jeshi letu kuvuka mpaka na kwenda kupigana na m23? Nani alitoa idhini ya jwtz kwenda kupigana na m23 wakati ule? Na kwa nini awamu hii wameshindwa kufanya walichofanya wakati ule? Nimeuliza kuhusu m23 kwa sababu inaungwa mkono na rwanda.