Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,487
Ndio hapo chacha!Nawakat tunachagua wenyewe
Ndio hapo chacha!Nawakat tunachagua wenyewe
Yupo huko kikazi au?Wa ndoto yangu yuko kwa Mungu.
Au.Yupo huko kikazi au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana. Basi hilo ni chaguo la Mungu kwako.Nlioa mwingine, ananipenda sana na ameshakua sehemu ya maisha yangu.
Ila dada amini hata sisi maboy tunaumia sana unae muhitaji kwadhat kabisa kutoka moyon ukimfata anazingua ila ukimfata yule ambaye unamtaka kwamuda umle alafu baada yamda umpotezee anakubali naanaonesha anakupenda sana so mwisho wasiku ujikuta umezamia ila halikuwa lengo lako toka mwanzoNdio hapo chacha!
Hongera sana. MUNGU awabarki daima.Aiseeee sifa na utukufu kwa mungu nilikua natamani niolewe na mwanaume ambae atanipenda, kunisikiliza, atakaejitoa kwaajili yangu na hakika nimepata nashukuru Mara 100
Utakua mbibi bila mtoto wewe. We chagua tuu. umri unakusubiri.Mie sina mtu bado nipo nmelala naota
Imani kwa Mungu imeponya wengi. Mungu ni wemaSimjui wa ndotoyangu zaidi ya huyu mungu maana yeye anajua jinsi gani atakavyonikutanisha na ubavu wangu , unless otherwise wacha nijenge maisha yangu kwanza huyo wa ubavu wangu atakuja mudautakapofika kama alivyoniambia dk Nyaki pale hospital leo
mwenyew angejua moyo wako ulivyo sijui angefanyaje......Umri bdo unaniruhs mkuu,acha Tu niendelee kutafuta.Uyu nlyenae Ni mchumba WA atakayemuoa,na Mie najua Wang kwa SAS yupo na limtu uko,ILA naomba Tu lisimgeuze
Truth. Pia hongera sana.Hizi mambo za ndoto ndoto mnabase kwenye physical appearances ndio maana watu mnachagua chagua mwisho wa siku muda umeenda mnabeba makoroma. .
The right one anayekupenda kwa dhati unamuacha hivi hivi anakupita kwa visababu vidogo vidogo. .
Mi nashukuru nliyenaye ni chaguo langu haswaaa
Kwani kukaa bila mtoto ni dhambiUtakua mbibi bila mtoto wewe. We chagua tuu. umri unakusubiri.
Nikueleze ndugu yangu hakuna ndoto kwenye kuoa au kuolewa. Katika uumbaji Mungu kufanya fumbo katika mambo matatu: kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kifo. Huwezi kuwa na ndoto eti ni namna gani utakavyozaliwa, wapi na utazaliwa na nani. Pia huwezi kuwa na ndoto eti utamuoa nani, utaolea wapi na uta oa kivipi au utaolewa na nani na wapi halikadhalika kifo. Hivi vitu jua kwamba vipo katika maisha lakini you can't create a vision and mission about it ever because all are unpredictable and you can't measure . Unaweza ukawa na vision namna nyumba unayoitaka, gari, au kuwa Kiongozi au Rais.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bdo namtafuta blak,mref wastani,nyuma chura,mabegan kapanuka na mikono minene wastani
Nikimpata uyu tamnunulia kuku aende kwa mganga.Kila nkikutana na gal bas anapeleza sifa moja Kati ya izo.Hata uyu nilonae saa hivi anasifa zote ILA tatzo lake Ni mweupe !!!aaahhggg..
Bdo natafuta lakn
sio dhambi ila utaonekana kibubutuKwani kukaa bila mtoto ni dhambi
Dah mambo yachura hayo ila kama anaweza mambo yetu yale inatosha, anaweza akawa nachura lakini akawa ajui kubinuka, kuna dem mmoja hivi nilimlaga hana chura ila kwenye mambo yetu yale mashalaah hata cjuagi huyo chura huwa anatokeaga wap kwajinsi anavyojibinuaga nihatarMimi yuko freshi sema Mungu hajampa chura tuu.