Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Nikueleze ndugu yangu hakuna ndoto kwenye kuoa au kuolewa. Katika uumbaji Mungu kufanya fumbo katika mambo matatu: kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kifo. Huwezi kuwa na ndoto eti ni namna gani utakavyozaliwa, wapi na utazaliwa na nani. Pia huwezi kuwa na ndoto eti utamuoa nani, utaolea wapi na uta oa kivipi au utaolewa na nani na wapi halikadhalika kifo. Hivi vitu jua kwamba vipo katika maisha lakini you can't create a vision and mission about it ever because all are unpredictable and you can't measure . Unaweza ukawa na vision namna nyumba unayoitaka, gari, au kuwa Kiongozi au Rais.
Sure mkuu
 
kusema ukweli nilienae sio wa ndoto yangu. mambo niliyokua nafantasize ni tofauti niliyokutana nayo kwa huyu jamaa. ila alijitokeza tu sasa sijui ndo mipango ya mngu.
 
kusema ukweli nilienae sio wa ndoto yangu. mambo niliyokua nafantasize ni tofauti niliyokutana nayo kwa huyu jamaa. ila alijitokeza tu sasa sijui ndo mipango ya mngu.
sio huyo iliyemuhitaj kivip? kielimu, kipato, kimuonekano, dini, kabila, au tabia?
 
Asilimia 90% ya wanaume huoa wanawake wa ndoto zao(kwa kuwa wao ndio hutongoza) asilimia 10%tu ya wanawake ndio huolewa na wanaume wa ndoto zao kwa kuwa hawana uwezo wa kutongoza wanaume wanaowapenda.

kweli kabisa.... umeongea point muhim sana
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kweli toka moyoni. Nilihitaji mwanamke mtulivu na mwelewa. Kweli nilimpata tena akiwa sealed na mcha Mungu. Tatizo ni kwangu sasa michepuko, lakini namshukuru Mungu tatizo la michepuko nimelimaliza. Sasa pombe ndio shida, nimeshatoka kwenye pombe kali nikaelekea kwenye strong beer (Guiness & Castle milk stout) sasa niko kwenye lager nikishatoka huku nikifika kwenye light, pombe nitaacha nina imani.
Our God is an Awesome God!
 
Ndio linatia kichefuchefu ila nilamuhimu sana me nawaza sawa huyu wangu amekubali kubadili dini ila je watoto wangu wakienda kumtembelea bibi yao upande wapili je hawez kuwarubuni nakuwashawishi waamini dini nyingine tofaut yangu?
acha kuwaza dini mbinguni ha2end kwa diniiiii!
 
Thank God nilie naye hakika ni chaguo langu .Yaani vitu vyooote nilikuwa namuomba Mungu anijalie mwanaume mwenye hizo sifa ndo Mungu amenipatia.kwa hakika nafurahia sana maisha ya ndoa.He is the best husband and best father to my kid.

anakukojoza lakini?
 
Asante mtoa post niliyenaye ndie chaguo langu japo vikwazo vipo maugomv etic
 
Back
Top Bottom