God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Vice versa is true.Kama kweli hivi!!
Ila cha ajabu wanaume ndio wanaongoza kuchepuka.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Vice versa is true.Kama kweli hivi!!
Ila cha ajabu wanaume ndio wanaongoza kuchepuka.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kawaida tu.Ila dada amini hata sisi maboy tunaumia sana unae muhitaji kwadhat kabisa kutoka moyon ukimfata anazingua ila ukimfata yule ambaye unamtaka kwamuda umle alafu baada yamda umpotezee anakubali naanaonesha anakupenda sana so mwisho wasiku ujikuta umezamia ila halikuwa lengo lako toka mwanzo
Moyo umekupa uchohitaji kuliko macho na akili, count your blessing.Hapana! Yaani ata sijui kwanini nampenda! Ila hana sifa nyingi sana nnazohitaji.
Hapana ila niuzembe tuu wa kuchagua chagua.Kwani kukaa bila mtoto ni dhambi
[emoji3] [emoji3] Why?Mimi hata sijielewi...
hISIA TUU MZEE.Dah mambo yachura hayo ila kama anaweza mambo yetu yale inatosha, anaweza akawa nachura lakini akawa ajui kubinuka, kuna dem mmoja hivi nilimlaga hana chura ila kwenye mambo yetu yale mashalaah hata cjuagi huyo chura huwa anatokeaga wap kwajinsi anavyojibinuaga nihatar
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]He sory kumbe ke! Nashukuru ujanichamba kuna mmoja humu jana kachambwa hatar baada yakumdhania mtu me kumbe ke
Nilimsubiri kwa miaka mingi sana, takriban 6... Mimi umri unasonga na nahitaji familia, hivo sikua na namna nyingine.Ulimsubiri?
Asante sanaMoyo umekupa uchohitaji kuliko macho na akili, count your blessing.
Ni kawaida. Inawezekana yuko confused. nadhani scopioni ni hatari zaidi.hakika bado dunia hii ina wale wanaume wa jamii ya SCORPION WA BUGURUNI,,,yaan uko na mtu halafu hujui kama unampenda au laaa...aisee ungekuwa karibu yangu ..hakika ningekuchoma sindano ya usingizi wa milele nisingekuacha mwanaume wa aina yako uendelee kututesa katika hii dunia..
... sina la kuongeza, umenena vemaIna sound kama vile mapenzi ni ya upande mmoja. Ungeongeza kuwa "na mimi nampenda sana na ameshakuwa sehemu ya maisha yangu", ingependeza sana.
Kwanini?KARIBIA WANAWAKE WOTE HAPA WANASEMA WAPO SINGLE,HUU NI UWONGO KABISAAA
Swali zurije ukimtia mwingine tena?
Hapana si dhambiKwani kukaa bila mtoto ni dhambi
Pole sana. Hope Mungu amereplace. Hivi kuna wanaume kama wewe saizi?Nilimsubiri kwa miaka mingi sana, takriban 6... Mimi umri unasonga na nahitaji familia, hivo sikua na namna nyingine.
[emoji4] [emoji4] you are welcome.Asante sana
Wanaume wote tuko sawa "ikitokea umependwa"Pole sana. Hope Mungu amereplace. Hivi kuna wanaume kama wewe saizi?
Mara nyingi huwa wanaangalia vigezo vya nje mfano tako kubwa ambalo baada ya muda hupungua kwa hiyo wanaamua kulitafuta kwingineko!Kama kweli hivi!!
Ila cha ajabu wanaume ndio wanaongoza kuchepuka.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wow! Ok ngoja ni kuamini.Wanaume wote tuko sawa "ikitokea umependwa"